mshikachuma usiwe na tabia ya wapiga ramli ukadhani umejaliwa kipaji kumbe unaidanganya akili yako mwenyewe. Toka lini mimi nimekuja hapa na majina zaidi ya hili nalotumia. Sijawahi wala sitoweza kubadilisha jina toka naingia kumbi za mijadala kama hii miaka 15 iliyopita. tabia za kinafiki mnazo nyie mnaojificha nyuma ya pazia mkadhani kila mtu ni kama nyie.
Kama nina jambo naliweka wazi sipo hapa kuzungumzia watu bali nazungumzia Issues na hata hizo Events mnazileta nyie mimi huzitazama na kuchangia katika uhalisia wake tu. Sipo hapa kumzungumzia mtu iwe Dr.Slaa ambaye kwenu nyie mnamuona kama nabii wa Mungu kuikoa Tanzania. Ni imani yenu na sitowaingilia ila tu msitake kunishawishi mimi katika imani hiyo.
LUBUVA amewapiga marukufu UKAWA kuenneza somo la kujiandikisha na kuhakikisha wanapiga kura.
kwahiyo elimu hii inakuwa ni tete na inaonekana kama kuna agenda ya siri katika mchakato wa BVR ccm kupitia tume wamesha panga hesabu zao na wamepanga wapi pa kuwaandikisha watu wao kwa wingi ili zile sehem zenye upinzani idadi ipungue na ccm waweze kupiga bao lkn tumegundua na lazima kieleweke safari hii tunajiandikisha na tunapiga kura
Kuna hoja nimeiona humu jamvini inasema kuna mikoa uandikishwaji ulifanywa kwa haraka sana hadi waliotakiwa kuandikishwa hawakuandikishwa. Ngoja niitafute huo uzi nikutag.
ni kweli lkn ukishaona hivi usionyeshe mihasira yako huwa wanapenda sana wakigundua unamihasira ndo wanakuzidishia mwishowe utafana na FAIZA:confused2:
Makongoro Nyerere kasema Ccm inaongozwa na vibakaUkiona Dr.slaa anasemwa hafai kuwa Rais,ni kwa wanachama wa ccm ambao wamezoea kunufaika na dili la ccm la kuiba,nyang'anya na kila aina ya ubadhilifu.
Mchwa walioko kwenye Halmashauri na Ikulu au kwenye wizara hawatamani kusikia jina la Slaa,hivyo tusiwashangae
Mchwa wa
we naweee.. kauze kete :majani7:
Makongoro Nyerere kasema Ccm inaongozwa na vibaka
Ukiona Dr.slaa anasemwa hafai kuwa Rais,ni kwa wanachama wa ccm ambao wamezoea kunufaika na dili la ccm la kuiba,nyang'anya na kila aina ya ubadhilifu.
Mchwa walioko kwenye Halmashauri na Ikulu au kwenye wizara hawatamani kusikia jina la Slaa,hivyo tusiwashangae
Mchwa wa
Ingawa sasa CCM ndiyo habari ya mjini, Dr. Wilbrod Peter Slaa asisahaulike. Ingawa mchakato wa kutangaza nia ndani ya CCM umeteka kilamedia hapa nchini, Dr. Slaa ni mwiba mkali kwa CCM yetu kama akiridhiwa na UKAWA kupeperusha bendera yao hapo Oktoba.
Kwa mwitikio anaoupata kwenye mikutano ya UKAWA huko apitapo na ninayoyaona humu nitembeapo,Dr. Slaa ni silaha tegemezi ya UKAWA.
CCM iwe pamoja au iwe vipandevipande baada ya mchakato wa ndani wa kumpata mgombea wetu, Dr. Slaa hatatetereka wala kuimarika.Atabaki kama alivyo: imara as ever. Iko wazi kuwa Dr. Slaa ana mtaji kuanzia safari yake ya Oktoba endapo UKAWA wakimpitisha.
Anaweza kubezwa na kukejeliwa lakini yeye ni mwanasiasa wa kufanyiwa maandalizi ya kutosha. Mgombea yeyote wa CCM na wengineo angetamani kikombe cha Dr. Slaa kimuepuke.
Yupo kwenye kumbukumbu ya watanzania kama mwanasiasa aliyethubutu kupambana na mafisadi,kwa vitendo, kwakuanika a List of Shame pale Mwembeyanga-Temeke, orodha ya mafisadi inayojidhihirisha kila kukicha.
Niseme tu, Dr. Slaa is one of the most complete politicians from the opposition. He is, normally, slow but sure! Hata asipokuwa mgombea wa UKAWA, atakuwa kiungo muhimu kwenye timu ya UKAWA.
Nitasema ukweli daima, fitina kwangu ni mwiko!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Tabora)
kila unaekutana nae mshauri akajiandikishe ili tuzike cccm vizuri hapo october. Ukawa ni hareeee, weraweraaaaaaaaa
usinitajie kabisa hivyo vyama nitatapikaBasi jaribu kuwapenda ACT Wazalendo for a change au CCJ?
usinitajie kabisa hivyo vyama nitatapika
Hebu punguza povu la ushabiki kijanaSi ndo mazao ya CDM
CHAMA KIMEJAZA MAYUDA ESKARIOTE NA BADO UKAWA BADO YAMEJAA TENA YANA MAKUCHA MAREFU YAMEANZA KUCHOMOZA!
Hebu punguza povu la ushabiki kijana