Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Je unajua kuwa Konyagi ni gongo kiwanda chake kioo mitaa ya viwanda ya Chang'ombe? Hicho kiwanda ni wazo la Slaa? Umri wa kiwanda hicho si zaidi ya umri wako,? Ni rekodi ipi unadhani imevunnwnwa?

Wewe mnywaji wa viroba ndo unajua!kajadilianeni na Silaha na wauza gongo pisha hapa!
 
There is no other way...Dr.Slaa is the next president,he is loyal and influential,a man with extraordinanary power granted by holy spirit.

There is no other way CCM will fall and UKAWA will prevail to the minds and soul of Tanzanians.

Sure hakuna namna nyingene sasa CCM lazima iende tu.
 
UKAWA wajidhatiti wapiga kura wajiandikishe ili wapigiwe kura. Maandamano bila kujiandikisha ni kazi bure.

Umeshamsikia mmoja hapa anasema konyagi na gongo ni sawa!sasa unategemea huyu asiandamane!ni simple logic tu hapa!
 
Wewe kibaka hiyo ni hofu tu maana umezoea vya kushonga wewe na wenzako hamjui kutumia halali.

Akija Dr Slaa anakuja kukata hiyo mirija inayowafanya mnyonye watanzania

Aanze kukata kwanza mirija ya ufisadi wa chama chake kwenye Ruzuku wanayopewa na serikali ya CCM ndo ahanie kwingine wee vp?
 
Mkuu huyu jamaa inaonyesha sense organs zake zimepararaizi hata akiambiwa kula majani anakura hawa ndo viongozi wa maandamano!

ccm wenzangu wapendwa jamani tupeni hoja za mashiko.Tunakaria majungu ya padri,mzinzi sisi uku kwenye mikutano tukiviongea tunazomewa.Jamani leteni hoja nasisi tujifunze tuitetee ccm yetu sio majungu
 
ccm wenzangu wapendwa jamani tupeni hoja za mashiko.Tunakaria majungu ya padri,mzinzi sisi uku kwenye mikutano tukiviongea tunazomewa.Jamani leteni hoja nasisi tujifunze tuitetee ccm yetu sio majungu

Wewe umepote njia angalia mchango wako ndo utajua akili yako, unaenda mbele unarudi nyuma sijui umepuliza kidogo nini?
 
Lumumba na mchepuko wake wakilisikia Jina Dr.Slaa wanapatwa na kihoro na hofu kuu.......
 
Lumumba na mchepuko wake wakilisikia Jina Dr.Slaa wanapatwa na kihoro na hofu kuu.......

Haaa unasema nini babu aka captain wa Buguruni team nae ana kimchepuko chake teh teh muulize 2010 walijificha wapi wakati tume inatangaza matokeo?
 
Haaa unasema nini babu aka captain wa Buguruni team nae ana kimchepuko chake teh teh muulize 2010 walijificha wapi wakati tume inatangaza matokeo?

Mchepuko wa Lumumba ni wale wa Maji maji .........wale wasaliti.......wale wanaosubiria 700 Ml ....waliomponza Naibu katibu mkuu kuondolewa madarakani huko Lumumba ........
 
Back
Top Bottom