Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Yule ni kama maji,usimuoga utamnywa!!halafu kwa sasa Dr.Slaa sio mtu kama mtu tu,ni mtu aliye kwenye mioyo ya watu.Kum-watch Dr.Slaa ni kuwapa wananchi maendeleo na haki zao
Wewe bado kidogo tu umuabudu Dr.Slaa hapa unamtoa kwenye ubinadamu una muweka kundi la Malaika.
 
..swali langu ni kwa boss niliye m quote si kwako.....Hayo maigizo unayosema kuhusu UKAWA siyaoni bali naona maigizo wanayofanya ccm....Jibu lako hapa halizungumzii hoja yangu.....

Oooooh sorry kumbe Im talking with kipofu, u dont see sasa mbona unapelekwa deep sea!
 
Wewe bado kidogo tu umuabudu Dr.Slaa hapa unamtoa kwenye ubinadamu una muweka kundi la Malaika.

Mkuu huyu jamaa inaonyesha sense organs zake zimepararaizi hata akiambiwa kula majani anakura hawa ndo viongozi wa maandamano!
 
Dr. Slaa ni mwanamapinduzi aliyepigana na ccm kwa miaka 20 sasa na akiwashinda kwa facts, yupo chama ambacho graph yake kila siku inapanda ukiangalia kuanzia uchaguzi wa mwaka 1995-2010 na hata uchaguzi wa serikali za mitaa Kariba yake kisiasa ni kubwa mno ukilinganisha na utitiri wa wanaccm wanaojikokota sasa.
 
Sina lengo la kupinga but kuna kitu hakizungumzwi wala kutazamwa sana
idadi ya kura alizopata DR Slaa......mwaka 2010....
watu wanasahau kuna watanzania wengi zaidi hawakupiga kura kabisa..
why hawakupiga kura na walijiandikisha....hilo swali lina maana kuubwa
walijiandikisha milioni 22 waliopiga kura hawakufika hata milioni 12
waliompigia DR Slaa hawakufka milion 6...
kuna kitu hapo kikubwa

Je kwa tafakuri yako wewe unafikiri ni kwa nini?
 
NI HEKIMA KWA KIPINDI PIA KUANGALIA NI JINSI UKAWA ITALINDA KURA ZAKE /ii

Kura mwaka huu italindwa kwa gharam ya damu mkuu wala usiogope watu wameshajifunza tayari kuwabana ccm. Kila kituo lazima kuwa na mawakala angalau 3 wakilinda kura za diwani mbunge na rais kwenye kituo kimoja na ambao hawajuani na hii itafanya akitokea msaliti hataweza kufanikisha azima yake.
 
Dr. Slaa ni mwanamapinduzi aliyepigana na ccm kwa miaka 20 sasa na akiwashinda kwa facts, yupo chama ambacho graph yake kila siku inapanda ukiangalia kuanzia uchaguzi wa mwaka 1995-2010 na hata uchaguzi wa serikali za mitaa Kariba yake kisiasa ni kubwa mno ukilinganisha na utitiri wa wanaccm wanaojikokota sasa.

Angekua kamanda na mwanamapinduzi mbona kakimbia upadre si kwa sababu sheria zilimshinda akakalia kuendekeza michepuko teh teh teh na awamu hii Oktoba nawaambia mjiandae kususia sherehe ya kuapishwa Rais mpya uwanja wa Uhuru, aaaa nimesahau nyie mtaanza kususia kwenye utangazaji wa matokeo ya Urais kama ilivyokua 2010.
 
Kura mwaka huu italindwa kwa gharam ya damu mkuu wala usiogope watu wameshajifunza tayari kuwabana ccm. Kila kituo lazima kuwa na mawakala angalau 3 wakilinda kura za diwani mbunge na rais kwenye kituo kimoja na ambao hawajuani na hii itafanya akitokea msaliti hataweza kufanikisha azima yake.

Ha ha ha ndo maana nasema viroba ni vibaya jamani ona sasa huyu anawaza kumwaga damu teh teh, na huyu ni mzembe tu siku ya matokeo kutangazwa atakua anakula sembe nyumbani kwake!Kama kisheria unaruhusiwa kulinda kura utalinda!
 
Wewe kibaka hiyo ni hofu tu maana umezoea vya kushonga wewe na wenzako hamjui kutumia halali.

Akija Dr Slaa anakuja kukata hiyo mirija inayowafanya mnyonye watanzania
 
Dr Slaa ndio kiboko ya ccm na ni mwiba hasa !na sasa yuko fiti sana ! tumshukuru sana Mungu kwa kumuumba huyu mtu ndani ya nchi hii .
 
Kwanza siamini kama watu hawataki kwenda kupiga kura, Pili njaa za watanzania zimefikia kubaya sana ... 2010 maeneo ya kwa mathias kibaha yaliokotwa shahada za kupigia kura kwenye magunia!!! Inaonyesha wanunuzi wa Korosho walikuwa wananunua pia shahada ambazo wananchi wa kawaida hawaoni umuhimu wake mbele ya 10,000/= ... Umasikini wetu ni Mtaji mkubwa kwa baadhi ya watu ...
 
Wewe kibaka hiyo ni hofu tu maana umezoea vya kushonga wewe na wenzako hamjui kutumia halali.

Akija Dr Slaa anakuja kukata hiyo mirija inayowafanya mnyonye watanzania

Tumika tu muulize ile ndoto ya 2010 kama kaisahau, na this time CCM wana hasira na nyie kisa mmejiunga UKAWA wana makombora ya kuwapiga kwa mpigo na mtakufa kwa pamoja kisha wanawatawala milele! Teh teh teh ni sheedah sipati picha mna yoweweseka mkiwasikia CCM
 
UKAWA wajidhatiti wapiga kura wajiandikishe ili wapigiwe kura. Maandamano bila kujiandikisha ni kazi bure.
 
Back
Top Bottom