Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
'Slaa drawing huge crowds in Tanzania, but Kikwete likely to win -- REUTERS'
Nionavyo mimi hii headline ina ujumbe mmoja tu -- kwamba pamoja na Dr Slaa kuwa kivutio cha wengi, Kikwete ambaye hajaonyesha mvuto mkubwa atashinda tu -- by hooks or crooks. Of course wata-rig ili ashinde!!! Na hiyo ndivyo ilivyo demokrasia katika nchi za Kiafrika!!