The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 20
Actually inawezekana wame-update tu kiaina, walishaandika hii analysis zamani wameiongezea few comments kwa mfano angalia hapa
Hawajaandika how many times!!!
Ina maana waliandika mara 2 before the launch of CCM campaign sasa alipodondoka pale Jangwani na ikajulikana kuwa aliwahi kuanguka akiwa waziri wa mambo ya nje, walifuta na wakasahau kuingiza data. Ndo maana nikiisoma naona kama hii report haiko coherent sana.
Hata inavyoanza Kikwete's health inaanza kusema atashinda then issue ya ku-collapse.. huyu intern wa Reuters hajafanya kazi nzuri.
BTW kuna jamaa namjua Mbongo ambaye reports for Reuters huyo kuhongwa ni kazi ndogo.
Mi nasema, hamna haja ya kusikiliza watu wa nje wao hawawezi kujua nchi yetu na ukweli on the ground kama sisi wenyewe. It is time we stop looking for outsiders to tell us what to do, what to think etc. And it is time for Tanzania to surprise the world!
And Yes We Can