Slaa awalipua Rostam, Riziwan

unaongea pumba tu kwani kipato cha mtu ni mshahara peke yake wacha uzembe wewe tunataka ushahidi wenu hapo sio husda mlizo nazo roho mbaya ndio zinawasumbua na zitawauma sana aliepata kapata tu

You Pepombili are you mentally OK?
 
Mdau ungetupa walau kwa ufupi huo 'utajiri mkubwa' unaanzia wapi hadi wapi. Hizi statement za jumla jumla zina kama harufu ya majungu hivi! Yaani tuambie kwa mfano, Mzee wa Kijiji ana nyumba sabini, magari ya kifahari 20, viatu jozi mia, nk. Anayesoma anajua kweli huu ni utajiri mkubwa. Lakini kusema tu dogo Ridhwani ni tajiri mkubwa haina tofauti na wale vijana wa kijiweni waliomzushia Nyerenere kuwa ana viwanda vya meli Sweden!

Kwa hilo mwanakijiji, sikuahidi hata kidogo. Labda hawa ambao wanataka kuhoji huo utajiri wa Mr. Ridhiwani ndo wangesema ana utajiri wa kiasi gani na ni wa nini na nini. Lakini mimi nimeleta tu habari ili ni wajuze.
Kama ni mfuatiliaji sana soma gazeti la mwananchi la tarehe 19 mwezi huu.
 
Re: Slaa awalipua Rostam, Riziwan
Dr Slaa siwezi kupinga unachokiongea maana wewe ni miongoni mwa viongozi wa kisiasa hapa Tanzania, je? vipi wananchi tunaweza kuthibitisha kauli zako unazosema tunaomba utuletee na ushahidi na sio maneno maana tunawaelewa wana siasa mulivyo na maneno mengi vinywani mwenu, kama unazo hizo documents za ushahidi wa mapato ya Muheshimiwa RA na RIZ kwa nini musiwatumie wanasheria wenu wa CHADEMA kuwapeleka mahakamani kama muna wasiwasi na source za mapato yao.

Mengi unayoyaongea ni kwa ajili ya maslahi ya nchi lakini je Rizwan Kumiliki mabilioni ni kitu cha hatari? Naelewa kwa ufahamu wangu Rizwan ni mtoto wa RAIS na baba yake alikuwa waziri katika wizara nyingi sana hapa Tanzania kabla ya kuwa Rais; ninavoelewa mimi Rizwan kumiliki Bilioni moja si kitu cha ajabu, eti kamaliza shule juzi ndio asiweze kumiliki hiyo ela haiingii akilini hata kidogo kwa mtoto wa kimasikini sawa ila Riz sio mtoto wa kimasikini akashindwa kujiingiza kwenye masuala ya kutafuta pesa.

Kama mna ushahidi wa wizi wa fedha muende mahakamani au kama ni siasa tu basi endeleeni (sikupingi Dr Slaa huwa napenda ila ushahidi wako uko wapi?) tuwekee ushahidi ila tunapomwita mtu fisadi kama Riz kweli tujue ili tusipate dhambi kumjadili mtu bila ya ushahidi.

Pepombili
SI WAENDE MAHAKAMANI KAMA WAMESINGIZIWA, MSHITAKIWA SI YUPO? shida iko wapi, Dr. Sema tuu usiogope!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mdau ungetupa walau kwa ufupi huo 'utajiri mkubwa' unaanzia wapi hadi wapi. Hizi statement za jumla jumla zina kama harufu ya majungu hivi! Yaani tuambie kwa mfano, Mzee wa Kijiji ana nyumba sabini, magari ya kifahari 20, viatu jozi mia, nk. Anayesoma anajua kweli huu ni utajiri mkubwa. Lakini kusema tu dogo Ridhwani ni tajiri mkubwa haina tofauti na wale vijana wa kijiweni waliomzushia Nyerenere kuwa ana viwanda vya meli Sweden!

Mzee wa kijiji

Junior Member

Join Date : 20th April 2011
Posts : 7
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

mkuu karibu JF lakini huu sio uwanja wa kutetea ufisadi utapata stress bure
 
Siku muda ukifika hapa Tanzania ..........................

Egypt continues interrogation on Mubarak's sons in jail: MENA

CAIRO, April 17 (Xinhua) -- The Public Prosecution interrogated Sunday Alaa and Gamal, sons of former President Hosni Mubarak, in Tura jail to complete previous interrogations, according to MENA news agency.
The investigations involved illegal deals over the privatization of some companies and the foreign partnerships and receiving commissions for other illegal deals.
Mubarak's sons were questioned on their relation to companies that managed investment funds of some businessmen, MENA quoted the public prosecutor's office as saying.
Mubarak's sons were also accused of forcing businessmen to give them share of their companies in return for facilitating partnerships with foreigners, added MENA.........

Egypt continues interrogation on Mubarak's sons in jail: MENA
 
Asante sana MHESHIMIWA DR. W. SLAA kwa majibu yako mazuri.

Huu ufisadi wa CCM ni mauti yao. Wanafanya usanii katika mambo muhimu na ya msingi sana kwa uhai wa Tz. Mahakama hiyo uliopeleka kesi hii nina imani sasa inao uwezo wa kusikuliza na kutoa hukumu stahiki. Endelea mbele na Ukombozi Dr.!
 
Ajiulize watoto wa masultani (uchwara) wako wapi...aanze tu na karibuni pale kwa Saddam, aje Misri kwa kina Gamal & Alaa Mubarak, soon to be followed by Saad Gadhafi.

Hakuna giza linaloweza ficha uchafu wao.....historia iliamua kuhukumu hivyo. Kila kitu kitawekwa peupe. Na mwendo ndo ushaanza sasa
 
Siku chache tu baada ya CCM kutangaza kujivua gamba Slaa alirusha list no.2, ni logic ndogo sana kuelewa kwa nini alifanya hivyo, ili uweze kuendelea kutumia simu lazima u top-up credit kwenye simu yako. Kwa hali ilivyo sasa uongozi mzima wa CCM na wanachama wake wamechanganyikiwa hawaelewi washike lipi waache lipi wamtetee nani wamuache nani ndiyo maana Nape na wenzake wameshindwa hata kuwataja ni akina nani wanatakiwa wajiuzulu, hata humu jamvini wana CCM damu tunaowajua wameshindwa kuchagua upande upi wautetee.

Ushauri wangu kwa Slaa kitendo ulichofanya ni sawa na kuchoma kichaka walimojificha nyoka wenye sumu kali joto litakapozidi lazima watatoka mmoja mmoja, tafadhali kaa mbali kabisa maana najua joto litakapozidi nyoka watatoka mbio kwa hasira huku sumu ikiwa nje nje na kuanza kugonga gonga chochote watakachokutana nacho. Tumeanza kuona gonga gonga hiyo mfano JF kuhusishwa na migogoro yao.
 
Wametafuta terminology ya KUVUA GAMBA ambayo hawakuifanyia tathmini sawasawa, na sasa wanapojaribu kuifanyia kazi inagoma kabsaaa!
Wamemtanguliza Nape mbele, naye anaenda kama kipofu, hajui yatakayotokea hapo mbele!...anyway, hata vitani ni lazima makuruta waamrishwe kusonga mbele ili wababe wajue kama kuna adui eneo hilo!
We ARE ASIDE NAPE, watching every move that you perform.
 
Moto wa Slaa umeshakolea juzi kwenye taarifa ya habari nilimsikia Chiligati akisema eti wame waandikia barua wale wote waliotajwa kwenye kashfa ya ufisadi wajiuzulu wenyewe nyadhifa zao sasa kama wanawajua na wanania ya kusafisha CCM kwanini wa wabembeleze watu kwa kuwaandikia barua kwani wamekuwa miungu watu hadi waabembeleze mtu anakashfa fukuza huna haja ya kuwabembeleza eti mnawapa siku 90 wawe wamejiuzulu wenyewe huu ni ujinga na upumbavu.
CCM bado wamevaa magamba hawaja yavua bado!

Hongera Dr. Slaa mapambano ndio kwanza asubui saa 1 fanya kazi baba tuko nyuma yako.....
 
ccm hakuna walilo fanya kwani hata nyoka akivua gamba abadiliki kuwa sungura anakuwa yuleyule na sumu ileile kwa mantiki hii 2ctegeme jipya kutoka kwao.
 
Kujivua gamba na kupambana na ufisadi kwa CCM siyo kwa nia ya kulitatua tatizo la rushwa na uhalifu wa mali ya umma bali ni kwa ajiri ya ku-buy time ili wananchi waendelee kuwapigia kura na wasishitakiwe.
Baada ya maandamano ya Chadema pamoja na mchakato mzima wa uchaguzi 2010, CCM wamegundua kuwa wananchi wameshawachoka na hawawezi tena kuendelea kuiba kura bila kuwapata yaliyompata Mubarak na jamaa zake wa Arab World. Katika hali ya kutapatapa ndiyo wamekuja na kauli mbiu hii ya kupambana na ufisadi ili kujaribu kuzirudisha kura za watanzania kuwa na wao wanachukia ufisadi... tatizo kubwa lilipo ni kuwa:
  • CCM kama chama tawala kimeshindwa kuilazimisha serikali yake iwachukulie hatua za kisheria wale wote waliokwiba kwenye mfuko wa EPA na wakarudisha pesa, bila kufanya hivyo hakuna mtu atakaye wachukulia serious
  • Wakati wa kampeni CCM walibeza vita ya ufisadi kuwa imechuja na kwa maana hiyo siyo nia yao ya dhati kupigana vita hii na wanachofanya sasa ni kupunguza makali ya vita hii
  • Mafisadi ndio wanaokifadhili Chama. Ukimwadhibu Rostam, kuna wengi sana ambao watakwenda naye ... Pius Msekwa amewekwa kwenye uenyekiti wa Vodacom Tanzania na Rostam (wapo watakaosema Rostam siyo majority shareholder lakini kutokana na political connections alizonazo ndiye mwanahisa mwenye sauti Vodacom Tanzania), Rostam pia anamkono kwenye familia ya Makamba, Rostam ndiye aliyewaibua wanasheria waliosaidia CCM kuchota pesa kwenye makampuni ya Meremeta, Mwananchi Gold, EPA, n.k na kuwaweka kwenye siasa... wapo Ngeleja, Masha (RIP), Maajar, n.k.
  • Wakitaka kuwashughulikia RA,EL,AC, etc, litakuja swali la kwa nini JK hashugulikiwa
 
Dr Slaa siwezi kupinga unachokiongea maana wewe ni miongoni mwa viongozi wa kisiasa hapa Tanzania, je? vipi wananchi tunaweza kuthibitisha kauli zako unazosema tunaomba utuletee na ushahidi na sio maneno maana tunawaelewa wana siasa mulivyo na maneno mengi vinywani mwenu, kama unazo hizo documents za ushahidi wa mapato ya Muheshimiwa RA na RIZ kwa nini musiwatumie wanasheria wenu wa CHADEMA kuwapeleka mahakamani kama muna wasiwasi na source za mapato yao.

Mengi unayoyaongea ni kwa ajili ya maslahi ya nchi lakini je Rizwan Kumiliki mabilioni ni kitu cha hatari? Naelewa kwa ufahamu wangu Rizwan ni mtoto wa RAIS na baba yake alikuwa waziri katika wizara nyingi sana hapa Tanzania kabla ya kuwa Rais; ninavoelewa mimi Rizwan kumiliki Bilioni moja si kitu cha ajabu, eti kamaliza shule juzi ndio asiweze kumiliki hiyo ela haiingii akilini hata kidogo kwa mtoto wa kimasikini sawa ila Riz sio mtoto wa kimasikini akashindwa kujiingiza kwenye masuala ya kutafuta pesa.

Kama mna ushahidi wa wizi wa fedha muende mahakamani au kama ni siasa tu basi endeleeni (sikupingi Dr Slaa huwa napenda ila ushahidi wako uko wapi?) tuwekee ushahidi ila tunapomwita mtu fisadi kama Riz kweli tujue ili tusipate dhambi kumjadili mtu bila ya ushahidi.

Ahaaa sasa naanza kuelewa, hapa unanithibitishia kwamba matajiri watazidi kuwa matajiri na maskini watabaki kuwa masikini au watukuwa masikini zaidi. Ridhwani ni nani mpaka awe na fursa za kutafuta pesa na sio watanzania wengine, ndugu yangu uelewa wako unatia shaka, kwa hiyo mtoto wa rais ametumia dhamana ya cheo cha baba yake kujitajirisha? huu ni ufisadi wa hali ya juu.

Na hicho ndicho kilio cha watanzania walio wengi, sasa kama dogo ana hela zote hizo dingi ana shing ngap? hii nchi ni yetu wote bana, wote tuna haki sawa, na tunataka fursa sawa za kuboresha maisha yetu.

Hoja yako nyepesi sana mkuu, inakushushia hadhi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kila mwaka mtaishia kusema hivyo hivyo... Mlialikana kwenye sherehe za kuapishwa Silaa, hiyo mialiko iliishia wapi vile?

Kama kawaida yenu, hoja hakuna ni mipasho kwenda mbele, nachukia sana maneno kama haya kwenye masuala yanayohusu mustakabali wa taifa letu.
 
Wakishaachia ngazi hao wanaotajwa, Dr Slaa au CHADEMA watanufaika vipi? Hakuna namna nyingine ya kuzi-handle hizi tuhuma za mafisadi wa CCM na serikali yake NCHI ikanufaika?
 
Kumbe Dr Slaa ndio Mwalimu wa Kuzomea! Hopeless!

Hapo pekundu. Hopeless mwenyewe. Kuzomea ndo fimbo ya nguvu ya umma. Mafisadi wamezidi kutuchuna. Dr. Slaa ni Dr pekee na nadhani anauwezo wa kuzifunika pHD zote za tZ ukizijumlisha kwa pamija.
 
Wakishaachia ngazi hao wanaotajwa, Dr Slaa au CHADEMA watanufaika vipi? Hakuna namna nyingine ya kuzi-handle hizi tuhuma za mafisadi wa CCM na serikali yake NCHI ikanufaika?
Hatuangalii kunufaika kwa Chadema although lazima itanufaika kisiasa, tunaangalia sisi wananchi na taifa tutanufaikaje, jiulize Nyerere alipokata mirija ya mabwanyenye na kuzirudisha nyumba mfano za NHC nchi ilinufaika vipi.
 
Re: Slaa awalipua Rostam, Riziwan
Dr Slaa siwezi kupinga unachokiongea maana wewe ni miongoni mwa viongozi wa kisiasa hapa Tanzania, je? vipi wananchi tunaweza kuthibitisha kauli zako unazosema tunaomba utuletee na ushahidi na sio maneno maana tunawaelewa wana siasa mulivyo na maneno mengi vinywani mwenu, kama unazo hizo documents za ushahidi wa mapato ya Muheshimiwa RA na RIZ kwa nini musiwatumie wanasheria wenu wa CHADEMA kuwapeleka mahakamani kama muna wasiwasi na source za mapato yao.

Mengi unayoyaongea ni kwa ajili ya maslahi ya nchi lakini je Rizwan Kumiliki mabilioni ni kitu cha hatari? Naelewa kwa ufahamu wangu Rizwan ni mtoto wa RAIS na baba yake alikuwa waziri katika wizara nyingi sana hapa Tanzania kabla ya kuwa Rais; ninavoelewa mimi Rizwan kumiliki Bilioni moja si kitu cha ajabu, eti kamaliza shule juzi ndio asiweze kumiliki hiyo ela haiingii akilini hata kidogo kwa mtoto wa kimasikini sawa ila Riz sio mtoto wa kimasikini akashindwa kujiingiza kwenye masuala ya kutafuta pesa.

Kama mna ushahidi wa wizi wa fedha muende mahakamani au kama ni siasa tu basi endeleeni (sikupingi Dr Slaa huwa napenda ila ushahidi wako uko wapi?) tuwekee ushahidi ila tunapomwita mtu fisadi kama Riz kweli tujue ili tusipate dhambi kumjadili mtu bila ya ushahidi.

Pepombili
SI WAENDE MAHAKAMANI KAMA WAMESINGIZIWA, MSHITAKIWA SI YUPO? shida iko wapi, Dr. Sema tuu usiogope!

Anayetakiwa kuthibitisha ni mahakama. Wewe nuna wasi wasi kama elimu yako inakutosha. Nendeni mahakani mkamshitaki kama amekihuka sheria. Yeye atakiwi kwenda huko maana mahakama zimeshikiliwa na mafisadi.
 
Wametafuta terminology ya KUVUA GAMBA ambayo hawakuifanyia tathmini sawasawa, na sasa wanapojaribu kuifanyia kazi inagoma kabsaaa!
Wamemtanguliza Nape mbele, naye anaenda kama kipofu, hajui yatakayotokea hapo mbele!...anyway, hata vitani ni lazima makuruta waamrishwe kusonga mbele ili wababe wajue kama kuna adui eneo hilo!
We ARE ASIDE NAPE, watching every move that you perform.

umeoonaaa eee Pk lazima kurta atangulie kfa wazee wajue kuna moto mbele yaani simtakii mabaya nnaep namwonya tu
tumechoka kuzika viongozi wengine tunaamrishwa michango nyumba kumi kumi ati kafa babake nanaii,,mara alikuwa nanii
tuhurumien kwa hili nnape mjihadhari
 
Nyerere alipokata mirija ya mabwanyenye nchi ilinufaika vipi.
<br />
<br /> nyerere alipoliachia kanisa kufanya litakavyo hata chumvi ilikuwa kipusa .ukivaa jeans unakodolewa macho kama vile umevaa dhahabu
 
Back
Top Bottom