Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,265
- 8,094
ni vyema wakamhoji mapema
na ikiwezekana ashughulikiwe mapema
ni vyema wakamhoji mapema
umeoonaaa eee Pk lazima kurta atangulie kfa wazee wajue kuna moto mbele yaani simtakii mabaya nnaep namwonya tu
tumechoka kuzika viongozi wengine tunaamrishwa michango nyumba kumi kumi ati kafa babake nanaii,,mara alikuwa nanii
tuhurumien kwa hili nnape mjihadhari
Pepombili,
Jamvi hili si maahali pa kutoa ushahidi. Kuna mahali pa kutolea ushahidi. Kauli zangu zimetolewa kwenye hotuba ya kuwaelimsha Watanzania, tena in this case wa Jimbo la Igunga Jimbo la Rostam Aziz. Kazi yangu kama Katibu Mkuu katika mikutano ya hasdhara si kutoa ushahidi bali kueleza na kuonyesha uozo ndani ya CCM na Serikali yake ili Watanzania waweze kufunguka macho. Mwenye kuona kaonewa ana mahali pa kutaka "redress" kama anafikiri nilichosema siyo kweli.
Nilikwisha kueleza kuwa "mahakamakubwa kuliko zote kwa mwanasiasa ni 'wananchi' (Ibara ya 8 ya Katiba). Tuliowataja leo wako mahakamani, Fedha za EPA mlizobishia angalau JK aliutangaza Bungeni kuwa zimerudishwa sehemu (Japo CAG katika Taarifa yake ya Hesabu za Serikali Kuu anasema fedha hizo hadi Machi 2011 hajaona zimeingizwa akaunti gani japo zilihamishiwa TIB June, 20, 2010 (Jambo linalozua utata mpya kabisa katika historia ya ufisadi ikizangatiwa kuwa 2010 ilikuwa mwaka wa Uchaguzi-au zilirudishwa zikaenda tena kwenye uchaguzi kuisaidia CCM au hazikurudishwa kabisa na inakuwa usanii tu).
Kama Rizwani anaona ameonewa aende yeye mahakamani mimi nimemaliza kesi kwenye mahakama ya wananchi, lakini nadhani ni vema ungelinukuu vizuri "conclusion yangu badala ya kuchakachua statement yangu".
Dr Slaa siwezi kupinga unachokiongea maana wewe ni miongoni mwa viongozi wa kisiasa hapa Tanzania, je? vipi wananchi tunaweza kuthibitisha kauli zako unazosema tunaomba utuletee na ushahidi na sio maneno maana tunawaelewa wana siasa mulivyo na maneno mengi vinywani mwenu, kama unazo hizo documents za ushahidi wa mapato ya Muheshimiwa RA na RIZ kwa nini musiwatumie wanasheria wenu wa CHADEMA kuwapeleka mahakamani kama muna wasiwasi na source za mapato yao.
Mengi unayoyaongea ni kwa ajili ya maslahi ya nchi lakini je Rizwan Kumiliki mabilioni ni kitu cha hatari? Naelewa kwa ufahamu wangu Rizwan ni mtoto wa RAIS na baba yake alikuwa waziri katika wizara nyingi sana hapa Tanzania kabla ya kuwa Rais; ninavoelewa mimi Rizwan kumiliki Bilioni moja si kitu cha ajabu, eti kamaliza shule juzi ndio asiweze kumiliki hiyo ela haiingii akilini hata kidogo kwa mtoto wa kimasikini sawa ila Riz sio mtoto wa kimasikini akashindwa kujiingiza kwenye masuala ya kutafuta pesa.
Kama mna ushahidi wa wizi wa fedha muende mahakamani au kama ni siasa tu basi endeleeni (sikupingi Dr Slaa huwa napenda ila ushahidi wako uko wapi?) tuwekee ushahidi ila tunapomwita mtu fisadi kama Riz kweli tujue ili tusipate dhambi kumjadili mtu bila ya ushahidi.
You should be specific which CCM are talking about CCM-A, CCM-B or CCM-RACHELUzuri ni kwamba ikifika uchaguzi mtaambulia 21% cdm vs 70%..ccm
Then mtakuwa kwenye complain corner as usual where you belong ...
You should be specific which CCM are talking about CCM-A, CCM-B or CCM-RACHEL
Siku chache tu baada ya CCM kutangaza kujivua gamba Slaa alirusha list no.2, ni logic ndogo sana kuelewa kwa nini alifanya hivyo, ili uweze kuendelea kutumia simu lazima u top-up credit kwenye simu yako. Kwa hali ilivyo sasa uongozi mzima wa CCM na wanachama wake wamechanganyikiwa hawaelewi washike lipi waache lipi wamtetee nani wamuache nani ndiyo maana Nape na wenzake wameshindwa hata kuwataja ni akina nani wanatakiwa wajiuzulu, hata humu jamvini wana CCM damu tunaowajua wameshindwa kuchagua upande upi wautetee.
Ushauri wangu kwa Slaa kitendo ulichofanya ni sawa na kuchoma kichaka walimojificha nyoka wenye sumu kali joto litakapozidi lazima watatoka mmoja mmoja, tafadhali kaa mbali kabisa maana najua joto litakapozidi nyoka watatoka mbio kwa hasira huku sumu ikiwa nje nje na kuanza kugonga gonga chochote watakachokutana nacho. Tumeanza kuona gonga gonga hiyo mfano JF kuhusishwa na migogoro yao.
Swali na hoja nzuri... lakini nadhani hoja isiwe ubilionea, bali ameupatajeWananchi wanaona yanayofanyika, mtoto wa rais, Ridhiwani Kikwete, amemaliza shule hivi karibuni lakini leo ni bilionea. Haya yote hayawezi kuvumilika hata kidogo.
Tatizo lenu ni kwamba duniani kote mekuwa second class sio kwa kupenda bali ni kwa sababu maalumu. Ishamel at work!
MI-JOKA UFISADI WA CCM HIVI SASA WAKO KWENYE KUMI NA NANE HIVYO NYOTE TULIZENI TU BOLI MTAONA HATUA TAMU ZAIDI ITAKAYOFUATIA!!!!!!!!
Napata picha unachokiongelea hapa Luteni ila ukweli wa mambo ni kwamba mashimo yoooote ya mi-nyoka ya CCM ndio sisi Nguvu ya Umma tulitangulia kuyaziba na kubakia na lishimo limoja tu ambalo ndio hivi tayari tumejaza moto mkubwa pamoja na magamba ya pilipili na petroli ili minyoka yooote na mayai yake yapate kuungua tokomea.
Katika hili hata tungependa kushika nyoka wa CCM moja baada ya nyingine ni kwamba tungefanya hivyo kabisa ila tu ukweli wa mambo ni kwamba kumeonekana ni vema tukaliache joka lizee life tu lenyewe kwa matatizo ya umri na njaa kwa kufungiwa ndani ya shimo na Watanzania wooote bila kujali tofauti zetu za kiitikadi.
Nadhani uijui vizuri IMMMA mkuu, wamiliki wake ni Ishengoma, Karume, Masha & Magai Advocates (IMMMA) hawa ni vijana wa Jk na Jaji Ishengoma jk kamtoa IMMMA, hapo kwenye blue napingana na wewe Ridhiwan kufukuzwa kazi IMMMAHuyo dogo ametumia mgongo wa baba yake kufisadi taifa! Kwani pale IMMA mshahara wake ulikuwa wakawaida tu na alishatimuliwa, sasa hebu tujiulize dunia kote hakuna kijana aliyezaliwa ktk familia masikini halafu ndani ya miaka miwili tangu amalize masomo akawa bilionea! Hapa kuna kitu!