Slaa awalipua Rostam, Riziwan

Ntamuomba Mungu Atuongezee japo miezi miwili tu, yaani mwaka huu uwe na miezi kumi na minne ili tujue na tuuone mwisho wa hili muvi....
 
Mmh haya makubwa tena. Basi tunasubiri kujua mengi.

Kwani naamini wazi kuwa Kijana ni mwanasheria na anajua fika sheria za nchi hivyo kama ataona au kuhisi kuwa amedhalilishwa basi atafikisha suala hili mahakamani ili zilijulikane mbivu na mbichi.

Thanks for the info Dr
si ndicho jamii ianachotaka, akithubutu tu atakuwa amefupisha mchakato wa kumjua vizuri . Maisha yanaendelea lakini wadau wana data, na hivi kwenye mchakato wa 'kuvuana magamba' mengi yatajulikana tu!
 
Mdau ungetupa walau kwa ufupi huo 'utajiri mkubwa' unaanzia wapi hadi wapi. Hizi statement za jumla jumla zina kama harufu ya majungu hivi! Yaani tuambie kwa mfano, Mzee wa Kijiji ana nyumba sabini, magari ya kifahari 20, viatu jozi mia, nk. Anayesoma anajua kweli huu ni utajiri mkubwa. Lakini kusema tu dogo Ridhwani ni tajiri mkubwa haina tofauti na wale vijana wa kijiweni waliomzushia Nyerenere kuwa ana viwanda vya meli Sweden!
 
Huyu dogo tunajua kuwa amepata madaraka juzi ndani ya UVCCM. Sasa tunashangaa endapo habari hii itakuwa kweli na ni lazima watanzania wafahamishwe wapi alikopata mabilioni haya. Biashara gani anafanya, anamiliki kampuni ipi na ilisajiliwa lini na kodi zipi amekuwa akilipa tangu alipopata madaraka. Tofauti na hivyo, huu ni ufisadi ambao hauwezi kufumbiwa macho na wanatanzania wanayo haki ya kujua wapi alikochuma, vinginevyo aongezwe kwenye list ya mafisadi.
 
Ridh1 nasikia kawa bilionea ghafla, ukisema Mufti anaona kama udini.Je,kaupataje huo utajiri??? How many moslemz hawana hata mlo mmoja?? UTAIFA kwanza!!!!!
 
kweli tunafumbuliwa mengi huyu dogo pesa alizo nazo ni nyingi sana nasikia hata magari yake ya kifahari yalipitia bandari ya tanga kutokea zanzibar na aya kulipiwa ushuru hata cent huyu ni mwizi sana mimi hata sitaki kumsikia
 
280 bilion kwa kweli hapa ndipo umuhimu wa kuwa na kiongozi kama Dr Slaa huyo RIZWANI kama ni bilioni hiyo n hela ya baba yake anamshikia tu kwa muda,

Wakuu,

Lets be fair, if Rostam angekua anapata hizo pesa kihalali isingekua shida, teh problem hapa ni namna ya kuzipata

VITA YA UFISADI NI NJEMA ILA TUSIPOANGALIA ITAFANYA TUCHUKIE TAJIRI YOYOTE HATA ALIYEPATA PESA KIHALALI

THANSK DR. WA UKWELI KWA KUENDELEA NA VITA, NIMEKUPA TANO KWA KWENDA KUMCHINJIA BURUSHI KWAO
 
baba slaa sisi vijana tupo nyuma yako,we sema ukweli daima.wewe ndiye rais wetu ujaye.huyu ****** mwizi tu.yeye na familia yake wezi tuuu.hana lolote.alikwenda kumtetea rostam na kumuombe kura,leo anasema afukuzwe chamani.mi nasema kuna mapacha wawezi wa nne na si wa 3,coz tuna mjumisha na ****** wanakuwa wa 4.
 
Hivi kama ana ushahidi si awapeleke mahakamani jamani, kwa niaba ya wananchi. Achukue hatua zaidi ya kutaja tu.
 
dr slaa siwezi kupinga unachokiongea maana wewe ni miongoni mwa viongozi wa kisiasa hapa tanzania, je? Vipi wananchi tunaweza kuthibitisha kauli zako unazosema tunaomba utuletee na ushahidi na sio maneno maana tunawaelewa wana siasa mulivyo na maneno mengi vinywani mwenu, kama unazo hizo documents za ushahidi wa mapato ya muheshimiwa ra na riz kwa nini musiwatumie wanasheria wenu wa chadema kuwapeleka mahakamani kama muna wasiwasi na source za mapato yao.

Mengi unayoyaongea ni kwa ajili ya maslahi ya nchi lakini je rizwan kumiliki mabilioni ni kitu cha hatari? Naelewa kwa ufahamu wangu rizwan ni mtoto wa rais na baba yake alikuwa waziri katika wizara nyingi sana hapa tanzania kabla ya kuwa rais; ninavoelewa mimi rizwan kumiliki bilioni moja si kitu cha ajabu, eti kamaliza shule juzi ndio asiweze kumiliki hiyo ela haiingii akilini hata kidogo kwa mtoto wa kimasikini sawa ila riz sio mtoto wa kimasikini akashindwa kujiingiza kwenye masuala ya kutafuta pesa.

Kama mna ushahidi wa wizi wa fedha muende mahakamani au kama ni siasa tu basi endeleeni (sikupingi dr slaa huwa napenda ila ushahidi wako uko wapi?) tuwekee ushahidi ila tunapomwita mtu fisadi kama riz kweli tujue ili tusipate dhambi kumjadili mtu bila ya ushahidi.

dr slaa wewe usiwasikilize hawa akina mapepo mbili,sisi wananchi si wajinga tena kwani hatuoni wananvyo fanya ccm? Tumeisha wajua na endeleeni kuelimisha wananchi wengi zaidi ili tuwatoe wnatusababishia umaskini kwa wizi wao! Nchi hii yetu wote bwana! Lazima tuwe wazalendo kwa hali yeyote.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
123ridhiwan.jpg


Prince Ridhiwani ana bifu na Lowassa ndio maana ghafla baba yake (Kikwete) kamgeuka Lowassa na kumtishia kumfukuza NEC kama asipojifukuza mwenyewe.

Source: Mwanahalisi la jana.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Cha Muhimu ni kama hao RA na Ridwan wanalipia kodi hayo mapato yao! We should not be so much concerned about how much a person earns but if he pays to TRA the taxes due to state on his income.
 
Back
Top Bottom