Slaa awalipua Rostam, Riziwan

Slaa awalipua Rostam, Riziwan

Jamani mbona Dr.Slaa anamtaja Ridhwani tuu vipi kuhusu huyo mtoto wa Lowassa amemnyamazia kimyaaaaaaa! Au ufisadi ni kwa upande mmoja tu?

Sasa tupime mali ya mtoto wa Lowassa na Ridhwani ipi ni nyingi zaidi? Mwenzake amemtangulia kwa kununua nyumba huko UK.
 
watanzania tuachane na mambo ya kujadili watu eeeeeh inachosha sana

ndiyo tabia za vi nchi masikini kama vyetu
 
Back
Top Bottom