Slaa awalipua Rostam, Riziwan

Slaa awalipua Rostam, Riziwan

Kuna viashiria vya hali hiyo,.

Yupo busy sana kutoa single zilizojaa majina bila contents za kutosha, usishangae kesho akiwa kwa wanavijiji wasiojua ata GB ni nani akakutaka umueleze vipesa vyako umevipata wapi wakati angeweza tu kukuuliza kwa simu na ukamjibu.

Anatafuta umaarufu kwa vitu cheap sana!![/QUOTE]

hapo kwenye bluu ndipo napokuona wewe sakala,kama sio slaa ni nani aliyesababisha waziri mkuu kujiuzulu na baraza zima kuvunjwa?,nani amesababisha mpaka sasa mnageukana wenyewe kwa wenyewe?nani alimpa kikwete siku tisa kushughulikia bei za vitu na kikwete kuorder bei ya sukari ishuke kabla hata siku 9 hazijaisha?hivi baba(jk)anapotajwa kwenye mkutano wa hadhara kuwa ni fisadi halafu anakaa kimya ina maana gani?nani ataamini kuwa utajiri wa mtoto sio wa wizi wa mali za umma?
 
huwa anaonekana akiingia kwenye kiwanda kimoja maeneo ya mikocheni na escort ya polisi kuchukua mgao,.sijui anagawana na dingi au katumwa na dingi??hata mke wa pinda anaonekanaga kwenye hicho kiwanda
 
JE RIDHIWANI KIKWETE AMEWAHI KUPOKEA, KUSIMAMIA NA KUSHINDA KESI NGAPI MAHAKAMANI KAMA MWANASHERIA BILA KUUNGA TERA NYUMA YA MI-JOPO YA WANASHERIA WENGINE????

Hivi anazo kesi ngapi alizowahi kuzipokea, kuzisimamia hadi kushika huko mahakamani, yeye kama yeye bila ya kuunga unga mitera nyuma ya jopo la wanasheria wengine ili tuweze kutafuta namna ya kumpima tangu atoke shuleni pale Mlimani na pia kuangalia kipindi kizima aalipokua akitoa huduma kama hizo ndani na nje ya nchi hata akapata bahati ya kuneemeka kujiunga na familia ndogo ya Ma-Billionea wetu hapa Bongo.

Kwa ufinyu wenu wa kujua mambo basi mtu akiwa mwanasheria basi yeye ni kesi na mahakamani tu?

Ndiyo maana Nyerere alikuwa haruhusu hata television. Maana sasa imekuwa kama chizi kapewa keyboard vile.
 
Labda ili kuanza kutathmini hebu anayemjua huy mtoto aanze kutueleza nini anamiliki na ni wapi ili tuhukumu vizuri manake ni kodi zetu hizi tusipokuwa makini kuna siku yatatutokea puani)
 
huwa anaonekana akiingia kwenye kiwanda kimoja maeneo ya mikocheni na escort ya polisi kuchukua mgao,.sijui anagawana na dingi au katumwa na dingi??hata mke wa pinda anaonekanaga kwenye hicho kiwanda

dah!
hapa nimetokwa na machoz
 
mh humu naona wanamagamba wameingia. hii kasi ya kuwatetea mafisadi siyo ya kawaida humu jamvini.ndio walivyotumwa kufanya toka Dodoma siku ile ama? maana naona kina MS wanapata wenzao sasa.

Aisee yaani inashangaza sana, sijui ni watu wa namna gani hawa, na sijui wanafaidika vipi na ujinga huu, ccm wenyewe wamekiri kwamba kuna matatizo kwenye chama na serikali yao, mpaka wakaamua kujivua hayo wanayoyaita magamba, ukisoma post zao utadhani waandika wakiwa mirembe. kazi tunayo.
 
Dokta acha wivu wa kike fanya kazi na ww upate hela, ww wenzako wanachacharika kufanya biashara na kupata kipato unawaonea wivu !:director::director::director::director:

Ndugu unatia aibu. By the way, how can a brain be genius?
 
Nafikiri Ridhiwani hayuko peke yake, na anafanya kwa niaba ya familia yao. Mungu isaidie Tanzania ili kuwafunga jela mafisadi wote wanaoturudisha nyuma kimaendeleo
 
Hapa Dr.Slaa anatupiga fix , Rostam Aziz hawezi kuwa mjinga hivyo!!
Unamatatizo wewe kila binadamu akionwa anawindwa kujitetea kwake la kwanza linakuwa ni kuua Sasa kama ni ujinga basi Watu wote ni wajinga!!

Mrisho Gambo kada wa UVCCM Arusha Ndie kada wa kwanza ndani ya CCM alipowalipua wazi wazi kina R.A Na E.L walimtumia hivyo hivyo ujumbe wa kumuua sasa upo wapi wewe na habari hizi?

Ukiwa Mnafiki wakati wa ujana wako Ukizeeka Utakuwa Mchawi!---By Mr. Mrisho Gambo
 
Nafikiri Ridhiwani hayuko peke yake, na anafanya kwa niaba ya familia yao. Mungu isaidie Tanzania ili kuwafunga jela mafisadi wote wanaoturudisha nyuma kimaendeleo

munga kasema anasaidia wanojisaidia so upo hapo.. Itabd uchukue hatua kama kupiga mawe gari pamoja na yeye mwnyewe hapo mungu atajua we unahitaji msaada
 
Mke wa Mbowe alivyotishiwa kufa alikwenda polisi kushtaki na sasa kesi ipo mahakamani kama kweli Dr Slaa na wewe umetishwa kama utauwawa sasa peleka hizo taarifa polisi sio kuwashtakia wananchi suala lako la kuuliwa.

RA ni Mtanzania na ana haki ya kumiliki hizo pesa, Dr Slaa naamini wewe ni Dr wa ukweli hasa nilipoangalia kwenye youtube ulipokuwa unamuelezea yule mama kuhusu mtoto wake mlemavu nilifurahi sana juu ya upeo wako wa elimu ya Afya ulionayo lakini je mbona kwenye suala hili la sasa la Riz na RA kutaka kukuuwa mbona huweki vidhibitisho? Tutakuamini vipi?
Ulivyosoma hukuelewa !!! duh! kasema haogopi kufa so amuue tu!!
Vithibitisho hivyo kama unavitaka mpeleke mahakamani akuoneshe
 
Dr. Slaa unatuchezea kiini macho. Kama unajifanya hujui kuwa Chama chako kinafadhiliwa na hao mafisadi wanaofukuzwa CCM basi wewe ni kiongozi wa ajabu saana.

Hivi unamfahamu kiumbe mmoja anayeitwa Yusuf Manji? Je, unajua madhambi yake kwa watanzania? Inakuwaje mumruhusu kiongozi wenu tena mwenye heshima zake ktk jamii kumtetea fisadi huyu? Hili nitalizungumza kwa kirefu siku zijazo maana taarifa nilizokusanya zinatosha kuweka uozo huu hadharani.

Ningeweza kumuelewa Mabere Marando kama angekuwa amejiunga Chadema akiwa tayari ameingia mkataba wa kumtetea fisadi huyu wa kihindi anayewafanya watanzania wajinga na kwa ufukara wao.
 
Siamini kama kweli Ridhiwani ni tajiri kwani namjua sana. Hapa mzee umechakachuliwa. Hebu tutajie utajiri wake vizuri
 
Wacheni kumuonea Riziwani hizo ni husda ambazo hazina msingi wowote. Hizo pesa kapewa na Jakaya Kikwete oooops (Like father like son) ie. Fisadi dagaa .... .... katika share zao kwenye mradi wa Sin Bin Clair kule kwenye machimbo ya dhahabu Bulyankulu pamoja na ardhi waliyouza kwa wawekezaji wa madini nchini. Kitu cha kudai ni kwa nini haya makampuni hayalipi kodi na kudai hasara kila mwaka? Jibu mnalo anachukua fisadi dagaa.

La msingi mikataba yote ifutwe mara moja na wote waliofaidika wafilisiwe. Watanzania kazi tunayo maana huyu m k w e r e ameshindwa hata kuwafunga rafiki zake... .. ie Mafisadi papa EL, RA pamoja na Chenge chacha wameanza kucheza mdundiko.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana, ndiyo binadamu pekee wanaoamini mambo ya kuambiwa bila ushahidi. Duniani kote wanasiasa wanapotoa tuhuma utoa na documents za ku-support tuhuma zao, lakini Tanzania ni tofauti kabisa tunaamini ya kuambiwa na mtu tu.

Poleni sisi wengine hatuamini wala kupinga kitu mpaka pawe na ushahidi unaoambatana na tuhuma hizo.
Nikikuambia Kuna dini Utaomba Ushahidi Kama Biblia ya kale na Quran ya Kwanza iliyoshushwa ndipo Usadiki?
 
Kosa liko wapi Ridhwan kuwa tajiri ? wacheni husda.(Naye pia anastahili kumiliki kama wanavyomiliki wengine mali roho mbaya haijengi sio kila anaepata kaiba) Juhadharini na dhana kwani hakika ya dhana ni kusema uongo.

Kumiliki sawa ila sio kumiliki mali za walipa kodi hata kama babake alikuwa waziri miaka mingi basi kuna uwizi ndani yake mishahara haiwezi kumfanya kuwa billionea Wizi Mtupu.. Bwagamoyo inasifika kwa Uchawi sio Mabilionea...

Achunguzwe naomba kuwasilisha katiba mpya iruhusu kuchunguzwa kwa matajili wote wamepataje pesa nyingi..
 
Huyo Slaa, hebu mwambieni aende unyantuzu (Bariad) akawaone vijana wadogo under 25 wakimiliki mali za mabilioni, hawajaenda hata zaidi ya std seven. Sio watoto wa katibu tarafa wala rais.

Ajue kuwa ukiwa na mtaji ku-make ni suala la mwaka. Aende Kahama aone vijana wa kinyantuzu wanavyoporomosha maghorofa, hawakusoma wamefanya biashara ya maduka, mifugo leo wana pesa.

Aache kulalama afanye kazi
Wacha ujinga wewe Bariadi ukiona mtu anapesa ujue ni mchimba madini dhahabu au almasi na si vinginevyo ujue pia wageni walipewa migodi wanavyopata kuchuma shamba la kaka yao j.k mfano ni Mwenye mabasi ya ''Mohammed Trans'' utajili wa madini sasa huyo Hirizi one anachimba madini ikulu?? Enzi za Mwalimu Angekoma!! Jibu hoja sio kushangaa shangaa kama zuzu

Tunataka enh! pesa zetu...
Basi wangejitolea kukopesha wanachuo na watoto wa sekondari zetu migomo iishe!
 
Back
Top Bottom