Watanzania ni watu wa ajabu sana, ndiyo binadamu pekee wanaoamini mambo ya kuambiwa bila ushahidi. Duniani kote wanasiasa wanapotoa tuhuma utoa na documents za ku-support tuhuma zao, lakini Tanzania ni tofauti kabisa tunaamini ya kuambiwa na mtu tu.Mke wa Mbowe alivyotishiwa kufa alikwenda polisi kushtaki na sasa kesi ipo mahakamani kama kweli Dr Slaa na wewe umetishwa kama utauwawa sasa peleka hizo taarifa polisi sio kuwashtakia wananchi suala lako la kuuliwa.
RA ni Mtanzania na ana haki ya kumiliki hizo pesa, Dr Slaa naamini wewe ni Dr wa ukweli hasa nilipoangalia kwenye youtube ulipokuwa unamuelezea yule mama kuhusu mtoto wake mlemavu nilifurahi sana juu ya upeo wako wa elimu ya Afya ulionayo lakini je mbona kwenye suala hili la sasa la Riz na RA kutaka kukuuwa mbona huweki vidhibitisho? Tutakuamini vipi?
Tumepata tetesi ridwan kikwete ni tajiri wa kutisha,tunaombeni kama kuna mtu ana informatin atugee kiaina
Nafikiri ujumbe wa mtoa hoja upo very straightforward,unachofanya wewe ni kujenga mazingira ya kumtetea mtuhumiwa!Mkuu una kazi ngumu ya kumsafisha huyo Ridhiwani K!!!Kwani umefukuzwa? Andika kwa ufasaha halafu acha umbea!
swala si utajiri ameupateje?wakati amemaliza chuo juzi juzi tu!Kosa liko wapi Ridhwan kuwa tajiri ? wacheni husda.(Naye pia anastahili kumiliki kama wanavyomiliki wengine mali roho mbaya haijengi sio kila anaepata kaiba) Juhadharini na dhana kwani hakika ya dhana ni kusema uongo.
Mbona anapotajwa kuwa ni fisadi aendi mahakamani .Tucdilishe jina la mafisadi tuwaite wezi au MwiziHapa Dr.Slaa anatupiga fix , Rostam Aziz hawezi kuwa mjinga hivyo!!
Kumbe Dr Slaa ndio Mwalimu wa Kuzomea! Hopeless!
Kama Slaa ni hopeless, waumishi wa umma wanaotuangusha kila siku kwa kuendekeza rushwa ni nini?Kumbe Dr Slaa ndio Mwalimu wa Kuzomea! Hopeless!
Hapa Dr.Slaa anatupiga fix , Rostam Aziz hawezi kuwa mjinga hivyo!!
Kama Rostam mapato yake bilioni 280 yeye DR Slaa inamuuma nini??
Kwani kuna limit ya kiasi cha pesa anazoweza kupokea mtu mmoja kwa mwaka kwenye Tanzania huru??
Dk. Slaa afichua mabilioni ya Rostam
• Asema anapokea bil. 280/- kwa mwaka, ataka akamatwe