Kwani huyu Dogo anamiliki kiasi gani cha pesa?
kijana sio tajiri wanamsingizia tu nadhani kwa watu wanaojua juu ya mali zake ni chache sana
1. shelli za mafuta 30
2.hotel za kitalii 4
3. kampuni ya tour 1
Jamani hivi ni Vijisenti tu
Kwani huyu Dogo anamiliki kiasi gani cha pesa?
Kumbe Dr Slaa ndio Mwalimu wa Kuzomea! Hopeless!
kijana sio tajiri wanamsingizia tu nadhani kwa watu wanaojua juu ya mali zake ni chache sana
1. shelli za mafuta 30
2.hotel za kitalii 4
3. kampuni ya tour 1
Jamani hivi ni Vijisenti tu
Hapo ndipo watu wanapo muona dokta amechanganyikiwa, maneno ya Salva Rweyemamu aliyokwisha yatoa kuwa dokta ameanza kuchanganyikiwa ndio yanaanza kuthibitika kwa kweli.
Kama huna la kuchangia si ukae kimya? Hueleweki kabisa unachokisema.Sasa KIPYA KIPI alichofichua huyo mzinifu? Mwenyewe ameshapata kusema kuwa billioni 185 ni kipato chake cha miezi minne, i.e. kipato chake cha mwaka ni billioni 185 x 3 = billioni 555.
Halafu hayo madai ya neno UFISADI kalianzisha yeye ndiyo kichekesho cha mwaka!!!!! Kwiiiiiiiii kwi kwi!!!!!!
Hivi kelele na maandamano ya katiba mpya, hali ngumu ya maisha, noti mpya yameishia wapi? Yaani yote hayo sasa yamewekwa pembeni na sasa ni kuwa wao ndiyo walioanzisha neno fisadi?
Kudadeki,Kila mwaka mtaishia kusema hivyo hivyo... Mlialikana kwenye sherehe za kuapishwa Silaa, hiyo mialiko iliishia wapi vile?
Tutahoji utajiri wa Ridhiwan
.
........kwamba atahakikisha kwamba kigogo huyo anaiambia .
Kumbe riz1 ni kigogo?
Mkuu thread nzima hio hilo neno ndio limechukua attention yako?
Kweli binadamu tunatofautiana.
JE RIDHIWANI KIKWETE AMEWAHI KUPOKEA, KUSIMAMIA NA KUSHINDA KESI NGAPI MAHAKAMANI KAMA MWANASHERIA BILA KUUNGA TERA NYUMA YA MI-JOPO YA WANASHERIA WENGINE????
Hivi anazo kesi ngapi alizowahi kuzipokea, kuzisimamia hadi kushika huko mahakamani, yeye kama yeye bila ya kuunga unga mitera nyuma ya jopo la wanasheria wengine ili tuweze kutafuta namna ya kumpima tangu atoke shuleni pale Mlimani na pia kuangalia kipindi kizima aalipokua akitoa huduma kama hizo ndani na nje ya nchi hata akapata bahati ya kuneemeka kujiunga na familia ndogo ya Ma-Billionea wetu hapa Bongo.