Unazifahamu ocean road ngapi? Migomba iko wapi hapo ? Usikariri
Wacha uongo, nyinyi bavichaa kwanini mnakuwa waongo namna hii? Hiyo picha na video iko mtandaoni muda mrefu sasa, hamuoni hata haya kudanganya?
Moderator watu kama hawa wanaoleta habari za uongo na kuwadanganya Watanzania ni kuwalamba ban ya muda, ili siku nyingine wayie akili. Punguani wahed.
![]()
Source: Skinwalker Spotted In New Mexico | The National Hub
[video=youtube_share;RUD05o6Oq7M]http://youtu.be/RUD05o6Oq7M[/video]
STRANGE CREATURE (SKINWALKER) IN NEW MEXICO FEBRUARY 23, 2014 (EXPLAINED)
Hee haya ya nini hapo? Avatar yangu username yangu na location yangu vyote ni halisi kwa kuwa najiamini siwezi kujiita Jack Chen wakati sio!! hebu nawe acha descretion jiweke wazi tukufahamu wote
Mshana, acha uongo wa wazi mchana kweupe!. Hii ni abuse kwa jf privilage ya kupost anything uncensored!.
Mkuu huyo hapondeki kwa tairi!
Huyo ukimuona kuna kitu flani unakisugua kwenye lami.
Anakuja mwenyewe kimgongo mgongo km ile miondoko ya Mlaleo kwenye ile avatar yake!
Halafu unamfanya utakavyo.
Unaweza tu ukamchoma na Exozi ya makalio km ukitaka. Yaani km wanavyo wapiga mihuri ng'ombe kwenye makalio. Kwa ajili ya Alama.
Halafu unampa onyo kuwa asirudi maeneo hayo tena.
Siku nyingine ukimuona Unamfunua makalio tu kuangalia je! Ule muhuri upo?
Km ukiukuta ndio unatembeza kichapo cha nguvu sasa km mimi nilivyo wafanya Nyakageni na Matola.
hapana mimi sio PORISI....bali ni miongoni mwa wanaostaajabu. picha ya SHETANI wako....Kikulachochako una maswali mengi kwa ni wee ni PORISI?
Asante sana FF!, hii inatusaidia sana tunapojadili serious issues humu unaweza kudhania unajadaliana na watu timamu, kumbe ni wengine ni vichaa hayawani wakubwa wasio hata haya!.PascoWacha uongo, nyinyi bavichaa kwanini mnakuwa waongo namna hii? Hiyo picha na video iko mtandaoni muda mrefu sasa, hamuoni hata haya kudanganya? Moderator watu kama hawa wanaoleta habari za uongo na kuwadanganya Watanzania ni kuwalamba ban ya muda, ili siku nyingine watie akili. Punguani wahed.Source: Skinwalker Spotted In New Mexico | The National Hub[video=youtube_share;RUD05o6Oq7M]http://youtu.be/RUD05o6Oq7M[/video]STRANGE CREATURE (SKINWALKER) IN NEW MEXICO FEBRUARY 23, 2014 (EXPLAINED)
Mkuu Mshana, just say sorry yaishe!.Hee haya ya nini hapo? Avatar yangu username yangu na location yangu vyote ni halisi kwa kuwa najiamini siwezi kujiita Jack Chen wakati sio!! hebu nawe acha descretion jiweke wazi tukufahamu wote
Mkuu Mshana, just say sorry yaishe!.
Amini usiamini mtumzima mwenye akili zake timamu, hawezi kutufanyia kitu kama hii!.
Tatizo sio kuposti uongo au hoax, bali the motive behind!.
Pasco
Mkuu Mshana, just say sorry yaishe!.
Amini usiamini mtumzima mwenye akili zake timamu, hawezi kutufanyia kitu kama hii!.
Tatizo sio kuposti uongo au hoax, bali the motive behind!.
Pasco
Asante sana FF!, hii inatusaidia sana tunapojadili serious issues humu unaweza kudhania unajadaliana na watu timamu, kumbe ni wengine ni vichaa hayawani wakubwa wasio hata haya!.Pasco
huyu si mchezaji wa black mambas anafanya mazoezi
Ni kujidharaulisha tu kwa uongo kiasi hiki
unapoteza kabisa kuheshimika