Skinwalker Spotted In New Mexico

Skinwalker Spotted In New Mexico

Duuu utakinukisha salsa hivi hahahahaaaa

Mkuu hii nyapi inafaa kupambanishwa na huyo kidudu mtu siku moja!
Ngoja niongee na kakake na Nyakageni manake yeye toka ninetembeza kichapo haongei na mimi.
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kumpelekea tairi nimponde lakini nikaghairi nikampiga picha
Mkuu wakati unampiga picha...haukuwa na alcohol kichwani...???....na wakati unalisogelea halikuwa na movement yoyote...???....lisije likawa sanamu..mkuu...
 
Sugar daddie wako umeshamuandalia eeh? Hebu ntolee nuksi hapa, nyapi za mkoani sizimaindi kabisa. Tutakutana saluni shosti. Hilo jina la mtemi wetu mtukufu na busara zako chache unalichafua tu.
Mi ntajadili na buzi lako!
We ntakuharibu bure saa hii. Wakati hata hao samaki hujamwandalia Sugar dady wako.
 
Mkuu wakati unampiga picha...haukuwa na alcohol kichwani...???....na wakati unalisogelea halikuwa na movement yoyote...???....lisije likawa sanamu..mkuu...

Kikulachochako una maswali mengi kwa ni wee ni PORISI?
 
[h=2]"Ocean road alfajiri Hii...live kabisa SHETANI"- Quote[/h]Hivi hii Ocean road ndo ile siku hizi inaitwa Barrack Obama?
 
Huyo atakua Matola huoni alivyobongo'a...au atakua Mlaleo hizo ndio style zake umesahau ile avatar yake mk....u juu

Pwa ha ha ha ha ha!
Mkuu umesababisha niteme chai!

Dah! Matola na malaleo wana miondoko balaa!

Kama wanakuja kumbe haooooo! Makalio juu! WAnatambaa zao mbele kwa mbele.

Tehe tehe tehe tehe!

Wachawi nuksi nyie!
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi Ocean Road ni msituni?

A cha ubishi angalia hizo Kingo upande wa kulia na hiyo miti kwa mbele kulia na vichaka upande wa kushoto ! Ocean rd ina kama km 2 hv salsa sijui we we umevuta picha ya sehemu gani?
 

Wacha uongo, kwanini mnakuwa waongo namna hii? Hiyo picha na video iko mtandaoni muda mrefu sasa, hamuoni hata haya kudanganya?
Moderator watu kama hawa wanaoleta habari za uongo na kuwadanganya Watanzania ni kuwalamba ban ya muda, ili siku nyingine watie akili.


Source: Skinwalker Spotted In New Mexico | The National Hub
[video=youtube_share;RUD05o6Oq7M]http://youtu.be/RUD05o6Oq7M[/video]

STRANGE CREATURE (SKINWALKER) IN NEW MEXICO FEBRUARY 23, 2014 (EXPLAINED)
 
Nilitaka kumpelekea tairi nimponde lakini nikaghairi nikampiga picha

Mkuu huyo hapondeki kwa tairi!
Huyo ukimuona kuna kitu flani unakisugua kwenye lami.

Anakuja mwenyewe kimgongo mgongo km ile miondoko ya Mlaleo kwenye ile avatar yake!

Halafu unamfanya utakavyo.

Unaweza tu ukamchoma na Exozi ya makalio km ukitaka. Yaani km wanavyo wapiga mihuri ng'ombe kwenye makalio. Kwa ajili ya Alama.

Halafu unampa onyo kuwa asirudi maeneo hayo tena.

Siku nyingine ukimuona Unamfunua makalio tu kuangalia je! Ule muhuri upo?

Km ukiukuta ndio unatembeza kichapo cha nguvu sasa km mimi nilivyo wafanya Nyakageni na Matola.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom