Hahaahaaaa shetani wa coco, wee acha tuu nilikuwa tayari nimeshashtakiwa kwa mods kwa kuudanganya umma
Kiukweli napenda juju naupenda uchawi na natamani siku moja nipate PhD ya uchawiView attachment 171901
Mods wanafanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu za JF na si kwa shinikizo la mtu au watu
Kuna automatic camera zenye sensor ambazo hutegwa mahali na kupiga picha chochote kitakachopita mbele ya lense ila ni ghali mno
Kuna automatic camera zenye sensor ambazo hutegwa mahali na kupiga picha chochote kitakachopita mbele ya lense ila ni ghali mno
Yeah uko sahihi na hapo ndo ugreat thinker unapoanzia usiwe driven na mazingira Bali stick kwenye uhalisia! Pasco Hii si utetezi wa kitoto hizi lugha usipende sana kuzitumia tujadiliane kwa hoja tukiweka lugha za kuudhi kashfa na matusi pembeni ndio hekima yetu itakapoonekana
Hat a sijui yawezekana ni jini Lakini si mahaba
dab noma jaman dunia imeharibika.
Kwahiyo kudanganya umeona ndo kuwa great thinker?eti kidogo nimgonge nikaamua kumpiga picha,acha fiksi za kijinga we mtu mzima,huna haya kupost uwongo,jirekebishe mkuu unajishusha heshima
kwa hiyo mtani ulitegea huyo jini kamera?
aisee we noma ungetuomba radhi yaishe bana