Mkuu Mshana, usijitetee kitoto!, kuna kitu kinaitwa "connotation meaning!" ni kile ambacho watu wa eneo husika watakirelate, mfano nikipandisha thread humu imeandikwa "JK Afumaniwa!" lengo langu ni kumaanisha "Juma Kengele", watu watakuja mbio kutokana na connotation meaning ya JK ni Jakaya Kikwete hadi watakaposoma details ndipo itaeleweka!. Unapoweka headline hii [h=2]"Ocean road alfajiri Hii...live kabisa SHETANI", its automatically umetudrive kwenye connotation meaning tulioizoea!, na nimesisitiza sitatizwi na jokes za humu, bali the motive behind!.[/h]
Pasco