Skinwalker Spotted In New Mexico

Skinwalker Spotted In New Mexico

Hebu kuwa na fikara kidogo Faiza usiwe MTU wa kukariri soma tena heading kwa umakini Kisha tafakari

Umebadili utumbo wa habari yako baada ya mimi kuweka link na kukubaini kuwa ni muongo uliposema hiyo eti ni "ocean Road alfajiri hii" khaa! au ma moderator wamebadili, huna hata haya, kusema uongo.

Au wewe una undugu na moderator? au wewe mwenyewe ni moderator? maana hakuna hata "reason for editing" na ilhali utumbo na kichwa cha habari vyote vimedilisha, sitoshangaa kuona hata ile post yangu iliyokukamata uongo wako imechakachuliwa au imefutwa. Hii ndiyo JF na ujinga wa Kitanzania haukosekani hata kwenye ma moderator wa JF.

Sijui akina Invisible, Paw na PainKiller wanajuwa kinachotendeka? au ndio utumbo wa batch ya ma moderator wapya.
 
Umebadili utumbo wa habari yako baada ya mimi kuweka link na kukubaini kuwa ni muongo uliposema hiyo eti ni "ocean Road alfajiri hii" khaa! au ma moderator wamebadili, huna hata haya, kusema uongo.

DUI bado uko na mimi tuu mods ndo wamebadili haya rudi siasani fasta kuna watu wanamnanga yule mjamaa
😀😀😀
 
Asante sana FF!, hii inatusaidia sana tunapojadili serious issues humu unaweza kudhania unajadaliana na watu timamu, kumbe ni wengine ni vichaa hayawani wakubwa wasio hata haya!.Pasco

Halafu tazama Moderator s wanavyomlinda, wamebadili kichwa cha habari kutoka "ocean Road alfajiri hii" mpaka hapo palipokuwa ukweli na nilipabainisha mimi baada ya kuona mleta mada anasema uongo. Na utumbo wa habari umebadilishwa hakuna hata "reason for editing".

Huyo ikiwa ndio moderator wa JF imagine tulipofika!

Kama mtu kasema uongo, futa nyuzi yake na uweke aliyeleta ukweli kuubaini huo uongo. Kwanini credit ya ukweli apewe mtu muongo na anaeupoteza umma unaoingia humu JF?

Unajuwa kuna watu hawajui maana ya Information Technology, wanachukulia haya mambo kimzaha mzaha kwenye mitandao serious, hajui kuwa kuna watu huwa wanaamini kila wanachokisoma JF. Na hawa viongozi wa JF ndiyo wananishangaza kuwacha mpuuzi kama huyu aendeleze ujinga kwa kufanya watu mahayawani na kujidai kuwa yeye ndiye aliyeleta habari iliyo sahihi, wakati yeye ndiye aliyeleta uongo na mimi nikambaini.

Usikute ni shemeji yake Invisible au Paw au PainKiller.

cc Invisible, Paw, PainKiller, Moderator
 
FF, sometimes hawa modes wetu ndio wabatuharibia hili jukwaa!, mtu alete matapishi ya utumbo wa jana, kwenye sahani ya chakula na kutuwekea mezani wageni waje kula!, then akaja mwingine akaleta sahani ya chakula safi, kilichopikwa kikapikika, kisha mode anaiondoa ile sahani ya utumbo na kuiweka ile sahani ya chakula safi, huku lile jiongo liloleta ule utumbo linaendelea kusimama pembeni huku likichekelea na likishukuriwa kwa upishi murua!.

Mkuu Mshana, hata kama modes saved your face, ni uungwana just to say sorry kuifanya jf ni darasa la chekechea!.

Pasco
 
FF, sometimes haws modes wetu ndio wabatuharibia hili jukwaa!, mtu alete matapishi ya utumbo kwenye sahani ya chakula na kutuwekea mezani wageni waje kula!, then akaja mwingine akaleta sahani ya chakula safi, kilichopikwa kikapikika, kisha mode anaiondoa ile sahani ysa matapishi ya utumbo na kuiweka ile sahani ya chakuyla safi, huku lile jiongo liloleta ule utumbo linaendelea kusimama pembeni huku likishukuriwa kwa upishi murua!.

Mkuu Mshana, hata kama modes saved your face, ni uungwana just to say sorry kuifanya jf ni darasa la chekechea!.

Pasco

Pasco hapana nasimama kutetea nilichoandika halafu umeshanikandia sana which is OK to me lakini bado nasema tuache lugha za vijiweni na misutano ya kike tujadiliane kwa hoja Mimi ni muungwana naapoligise ninapoona nimekosea na si vinginevyo
Hizi lugha unazojaribu kutumia hazitanifanya nibadili msimamo Wangu na hata kuwakandia mods haitasaidia pia, wao wamepima na wakaona ukweli ni upi
 
DUI bado uko na mimi tuu mods ndo wamebadili haya rudi siasani fasta kuna watu wanamnanga yule mjamaa
😀😀😀

Nipo na wewe kwa sababu unatakiwa uelewe kuwa uongo ni mbaya na humu kuna maelfu ya watu wanapita kila siku, wengine ni watoto wadogo, kusema kwako uongo kunawafundisha nini hawa watoto? wengine wengi ni watu wazima ambao hawana means za ku verify uongo kama huo uliouleta wewe, unawaeliminisha nini hao?

Inabidi ukiri kosa na uombe msamaha na utubu kosa lako la kusambaza uongo. Huo ndio ukisikia unafik wa hali ya juu.
 
Pasco hapana nasimama kutetea nilichoandika halafu umeshanikandia sana which is OK to me lakini bado nasema tuache lugha za vijiweni na misutano ya kike tujadiliane kwa hoja Mimi ni muungwana naapoligise ninapoona nimekosea na si vinginevyo
Hizi lugha unazojaribu kutumia hazitanifanya nibadili msimamo Wangu na hata kuwakandia mods haitasaidia pia, wao wamepima na wakaona ukweli ni upi

Kuzuwa na kudanganya na kutetea uongo wako unajiona bado hujakosea? huo ni ubshi wa kinanihii, hakuna mwanamke anaebishana kinanihii namna hiyo..
 
Kuzuwa na kudanganya na kutetea uongo wako unajiona bado hujakosea? huo ni ubshi wa kinanihii, hakuna mwanamke anaebishana kinanihii namna hiyo..

You are no longer my headache Faiza so take it easy
 
Janjaweed kilichotokea ni watu kukurupuka na kupeleka mawazo yao Ocean road Dsm lakini kama ungepata nafasi ya kutafakari kidogo picha kama ile inahitaji automatic camera ambayo ni very powerful na yenye flash kunywa pia iangalie kwa kutulia utagundua mengi

Mshana, acha ubishi

Hiyo picha imeshaonyeshwa na FF na katoa na video ya youtube kabisa

ubishi hauna tija

story umetunga
 
Mshana, acha ubishi

Hiyo picha imeshaonyeshwa na FF na katoa na video ya youtube kabisa

ubishi hauna tija

story umetunga

Hainisadii tena nimeshatoka huko kitambo kila mmoja abaki na msinamo wake
 
Back
Top Bottom