Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Tatizo lenu mpo kama watoto walioachishwa ziwa kunyonya huwa wanalia usiku kucha wakiona wanaonewa na ni haki yao kunyonya siku zote kumbe hawajui kuna hatua zinazofuatia mbeleni pengine zitakuwa nzuri au mbaya huo ni mfano tatizo sio Magufuli tatizo ni mfumo na maisha tuliozoeya kuishi ya wizi, ulaghai ,rushwa, dhuluma na mengine yafananayo nayo, sasa Rais anajitahidi kurudisha katika misingi na mfumo uliobora wa kuyafikia malengo watu mnaona taabu ,

Hii nchi jama hata angelishuka malaika kwa hali iliyokuwa imefikia hangeweza kuiongoza humu kila mtu msemaji kila mtu mjuaji cheusi kita takatishwa kuwa cheupe inabidi kujitoa ufahamu tu kuiongoza hii nchi watanzania hatubebeki ,

Mmesahau kuna mikataba ya miaka mia moja humu hembu tuwe na utu jama tumsaidie Rais kuendesha hili gurudumu la maendeleo tuache kulia lia Mungu hapendi namalizia kusema asiyefanya kazi na asile na mikono milegevu hujenga paa bovu.
Ivi ile meli ya mv Daresalaam alinunua nan mkuu samahani,nimesahau naomba nikumbushe???
 
Wote mnaomchukia "Sizonje" ni majipu na wapiga "dili". Kama mnaendesha maisha yenu ya halali kabisa hamwezi kumchukia Sizonje.
Sizonje kaka usiogope kelele za hawa wezi na majambazi, sisi tupo pamoja na wewe, endelea hivyo, hivyo kuwabana mpaka wakome ubishi. Tuko pamoja Sizonje.
Ati ile deal ya mv Daresalaam alipiga nani vile????
 
Sizonje alisema kuwa makusanyo ya viingilio kwenye mechi yamepanda sana hivyo ametenga Pesa nyingi kwa maendeleo ya timu.Lakini hali halisi so shwari ,hakuna miradi ya maendeleo ya timu inayoendelea kwa uhaba wa Pesa.Sasa sijui takwimu za viingilio vya kila mechi ni feki au Sizonje kuna sehemu anapeleka ?
 
Ati ile deal ya mv Daresalaam alipiga nani vile????
Weka ushahidi, usiongee tu. Tuonyeshe ushahidi. Watu tunaofanya kazi zetu za halali maisha yanaendelea tena bila shida yoyote. Mimi nashangaa sana kuona watu wanapiga kelele tu bila sababu za msingi. Sizonje fanya kazi baba, tupo pamoja na wewe katika kurudisha heshima ya nchi yetu.
 
Weka ushahidi, usiongee tu. Tuonyeshe ushahidi. Watu tunaofanya kazi zetu za halali maisha yanaendelea tena bila shida yoyote. Mimi nashangaa sana kuona watu wanapiga kelele tu bila sababu za msingi. Sizonje fanya kazi baba, tupo pamoja na wewe katika kurudisha heshima ya nchi yetu.
Hujajibu swali mkuu,hakuna aliyedata hapo,isipokuwa Tu don't ignore Da facts....
 
Hujajibu swali mkuu,hakuna aliyedata hapo,isipokuwa Tu don't ignore Da facts....
Which facts are you referring to?? Ndio maana nimekuambia tuonyeshe ushahidi ili tukuamini. If you don't have concrete evidence, the right to accuse anyone.
 
Hahahahahahahaha, sizonjeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aaaäaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa anateleza paleeee, mashabiki waliiinuka kutaka kushangiria, naona bench la ufundi linaendabkumganga kidogo....

Huku wachezaji wengine wanaomba maji ya kunywa kidogo walegeze koo, timu imezidiwa sana dakika ni 15 kipindi cha kwanza, hali ni mbaya maji yakunywa hamna wamepewa glukozi wakazie na mate, ...........

Itabidi mcheze tu hamna namna maana Hii timu ilikuwa Na wachezaji hewa wamevaa jezi wanafanya mazoezi kidogo kumbe kucheza hawawezi Na mshahara wanapewa.Kocha Tuko Na wewe wala usiwajali hao wanaomba Maji. Sisi tulio benchi tutaendelea.Hata glukozi wasipewa.
 
Hivi ni kwa nini hakuna ombaomba wamasai? Ni wagogo tu kuombaomba, tena bora serikali iwafuate hukohuko Dodoma mtuache tupumuwe.

Jifunze kujuwa sample huwa inachukuliwa kwa percent ngapi?
Sad huku Arusha wapo. Wanasingizia nauli za kwenda Ngaramtoni.
 
sizonje mbona malaika hashuki..?
ngoja nikujibie
anaogopa akishuka atakutana namasizonje!
 
Kocha mpya kaja na mifumo yake kocha wa timu yetu ambae mkataba wake uliisha kuna mapungufu tulikuwa tunayaona na kupiga kelele beki yule mbovu mara nyingine alisikia kilio chetu wapenzi na kufanya masahihisho mara nyingine tulilaumu timu inacheza vibaya kocha hasimami na kuwaelekeza wachezaji wake yeye kakaa tu benchi kama haoni tunashambuliwa vile.
Mpaka anaondoka kuna sehemu tuliona amefanikiwa kuleta vipaji vipya na kuzimudu nafasi japo si kwa asilimia 100 sasa kocha sizonje kaingia nae ana mfumo wake kafanya reshuffle kubwa tu na wale wachezaji wengine wametolewa penye timu na kusajiri wapya kwa kipindi alichokaa na timu na hasa timu yetu wenyewe tunaijua ilivyokuwa tumpe muda kocha mabadiliko yana changamoto zake ni kipindi cha mpito sio kama mashabiki tusiongee kabisa ila miluzi mingi humpoteza mbwa mara oooh kaharibu kabisa kumuingiza yule mara aaah yaani fulani kamuacha kama anaona wanamfaa penye mfumo wake awatumie sisi tunapenda kuona timu yetu inatandaza kandanda Safi na hata tuweze kushiriki mashindano ya kimataifa na kushinda.
Wewe ni smart umejadili kocha vizuri sana. Si km wale waliogeuza mada iwe ya kisiasa wakati ni michezo
 
Hivi sisi wakazi wa Mosco mnatupataje na hizi sheria zenu magumashi?
Server ipo u.s.a wewe upo russia. sheria ipo bongo. duuuuhh. sipati picha itakuaje hapo mahasimu wawili wakichonganishwa kwa kukutafuta ww. nahisi itakua ngumu. bora yako
 
An tangu team yetu ipate kocha mpya
Team haishnd
Ikjitahd n droo
 
Back
Top Bottom