ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,858
Kocha apewe nafasi amalize mkataba wake wa awali, tena TFA itaomba ridhaa kwa washabiki ama aongezewe mkataba mpya au hapana. Formations zake hazijasomeka bado lakini nina hakika ataweza kuipeleka timu kwenye final ya kombe la Afrika, at least!