Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje anashindwa mambo na kaibua mbinu matata ya kuwalaumu wapiga dili wakati ametuaminisha kuwa kashawadhibiti. ...tutimue kocha otherwise relegation inatuhusu
Sizonje kazoea lawama!! Sasa hataki lawama zirudi kwake.
 
Sizonjeee uliona mepesi sasa wajuta Sizonje
 
Sizonje kubali wakwambie ukweli..!!!

Huku uwanjani wachezaji wanafanya mazoezi ya nguvu, ILA HAWAJALA!

Tia maji tia maji, huchelewi kuwakuta ni mizoga wanaliwa na ndege! NIKIJA DAR NTAKUNONG'ONEZA!!!
Teh teh teh
 
Haha mkuu kwa ukata huu wa kupigiwa mnada mali zetu jeuri hii umeitoa wapi? Hala hala asikusikie Sizonje maana hataki muishi kama malaika!!
Kibaya Zaidi Sizonje anataka watoto wetu wasipate elimu ya juu waishie kuwa kwenye tabaka la wapiga kura, juzi tu walisema waziri wa habari lazima awe na degree, kwahiyo watoto wetu wataishia kuwapigia kura watoto wao.
 
sizonje,ni lini utathamini elimu ya juu?..nikirud toka ng'ambo ntakupa vijisent uwakopeshe wanafunzi..
Sizonje tazama timu yetu inavyoshuka daraja nawewe ndo kocha,Sizonje ili kucheza ligi ya mabingwa ni lazima kubadili katiba ya timu yetu ,Ili ikuwezeshe kujisimamia, kuwasimamia viongozi wengine wa timu yetu pamoja na kuwasimamia wachezaji,
 
Kibaya Zaidi Sizonje anataka watoto wetu wasipate elimu ya juu waishie kuwa kwenye tabaka la wapiga kura, juzi tu walisema waziri wa habari lazima awe na degree, kwahiyo watoto wetu wataishia kuwapigia kura watoto wao.
Sizonje anaimba timu tajiri huku akitaka wenye timu waishi kama mashetani!!

Aliahidi elimu ya juu kwa kila mwanatimu sasa hataki anaogopa changamoto za kukosolewa!!

Sizonje karithi roho za madikteta huwa hawapendi wasomi!!!
 
Nimecheka sana mkuu. Wanasema hata sisi wa HANANASIF wakiamua kutufata, watatukamata tu!
Shida ya kuruhusu darasa la saba nao wawe wabunge ndio hii, mtu kama kibajaj ana akili gani?

Server yenyewe tu JF haipo Tanzania ipo Marekani, hivi watu wanaishi Marekani uwaambie FBI eti wawakamate kwa freedom of speech? Huu ni umajinuni.
 
Sizonje pengine angepewa kazi ya kufua jezi kila baada ya mechi lakini si ukocha, ona sasa timu inashuka daraja.
haki ya mungu kati ya vitu ambavyo sizonje havipendi hata kuvisikia ni huu mtandao wa jf, inawezekana kuna watu amewaweka kufuatilia mada zinazoinanga timu yake, au yeyemenyewe, balaa linakuja jinsi yakumpa ripoti ya mambo kama haya '"'eti.... Mh.... Wanakuita.... Sii.. Si zonje..''
 
Back
Top Bottom