MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,045
- 14,837
Uoga usizidi mkuu.... inaweza na mimi ningeweza kula shaba na kuingia katika takwimu, ila niligoma kukimbia bila kosa!Mnabahati sana wangekuwa wale wenye noah mngekula shaba
Uoga usizidi mkuu.... inaweza na mimi ningeweza kula shaba na kuingia katika takwimu, ila niligoma kukimbia bila kosa!Mnabahati sana wangekuwa wale wenye noah mngekula shaba
Sana tangu Uzi wako wa "uislamu unapinga maandamano" "kiongozi sijui aheshimiwe,kwa mujibu wa uislamu" na BLA BLA kibao baada ya ya maandamano kutokea.Mimi nawapa false hope keyboard warriors tu, siwezi kuwa mjinga kuhatarishanmaisha yangu kizembe yaani niende na jiwe mwenzangu ana Gun ni upuuzi mkubwa.
Fikiria huzuninna hasara utakayoacha kwa familia yako , kama wanajeshi tu wanakimbia vitani wakiwa na silaha na wamepitia mafunzo Mimi ni nani nijitoe front kizembe ?
Bora mtoke kwa wing muwawai kuonesha huna hofu jui yako uko tayar kwa lolote ukikaa ndan watakufuata huko huko na kukubaka mbele ya mkeo na kukua akili kwako maana hii sio serikal genge la mafirauniWakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Safari hii police hawataua kwasababu wakifanya hivyo Mama Samia atakuwa rasmi ni muuaji usione serikali imekaa kimya inajutia maamuzi waliofanya angalia Sasa hivi anavyolia kukosa mikopo kutoka nje ni kwasababu ya athari ya maandamano ya October 29 unafikiri kwa akili ya kawaida atataka arudie Tena kumbuka pia hiyo D9 vyombo vingi vya nje vitaweka Kambi hapaKwahiyo wakiuà the way out ni vyombo vya kuripoti...what we want to avert is killing people.
Tàhadhali yetu ni ipi? Tunapeana what to do risasi hata moka isimguse mwandamanaji.
D9, Come one , come all!
mkuu usije jaribu tena…Shukuru tu MunguUoga usizidi mkuu.... inaweza na mimi ningeweza kula shaba na kuingia katika takwimu, ila niligoma kukimbia bila kosa!
we must die, let it not be like hogsKuna shairi la Profesa Joan Mwaikusa the late, kama nimepatia, linaitwa If we Must die
Oct 29 Hawakuwa wanalenga Waandamanaji pekee, bali waliingia Mitaani na kwenye nyumba za watu Kwa lengo Moja tu, kuua..Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Duh!Maandamano haya ya D9 ni maandamano yakumng'oa Mubaraki MADARAKANI .
Hawana akili hao, tumewatega, wameingia 18 Kichwa KICHWA , Sikilizia .
Huwezi kua na Brain ya Abdul Ndani ya TISS alafu ukaendelea kubakia MADARAKANI.
HAIWEZEKANI .
Mnajua Hawa Wasengee wameua watu Kwa Halaiki Kwa kutumia Misingi ya Kigaidi ?? .
Kuna Baadhi ya Polisi Walioua watu Kwa kufata Mkumbo wa Hawa Janja weed wa Zanzibar.
Orodha ya Askari wote walohusika kuua watu Okt 29-Nov 3 , tunamalizia kuiandaa .
Foffana Mkuu maandamano ya Tarehe 9 yamewekwa Kama mtego kwa serikali unajua kwanini? Maandamano ya October yalikuwa hayajapangiliwa vizuri ni kwasababu ilikuwa ni mara ya Kwanza kiistoria mipango haikukaa sawa, ya D9 yamekuja na fundisho kwa maana ya kwamba mpangilio umewekwa wapi inapaswa yafanyike tofauti na mwanzo maana hakutakuwa na uharibifu wa miundombinu kwa kupata fundisho kupitia maandamano ya awali badala yake watu watakuwa na mabango ya kuonesha Nini wanataka kipengele labda walete polisi lakini serikali wanajua Hilo hawawezi kufanya Kama October 29 Tena maana wao ndio watakuwa waanga Kama chochote kitatokeaHii ya dunia kuangalia ndo tunapofeli
Kwahiyo wakiangalia ndo nini kitakachofuata?
Kila Jambo linasababu haiwezi kuwa 2 kabla ijawa 1Mshana teknolojia ikishawakamata nini kitafuata?
Mbona video zaidi ya 500 zipo zinaonesha hayo matukio waziwazi hatua gani zimechukuliwa??
Kama walivyobeza October 29Halafu mnaobeza hapa watu kujitokeza D9 ushindi ukipatikana mtakuwa wa kwanza kushangilia..!!
Nchi ina wanafki sana hii
Waandamanaji wakikosa hata mishale nitashangaa sana!Mi sijapata hata jambia, hii ya silaha ni kupeana matumaini km ya wajeda wa MO29
ukiwa onlineTo face the bullet
baadae hatutaki kuskia kelele sjui wametuua kama mnataka vita yatakayowakuta mtulize kooWaandamanaji wakikosa hata mishale nitashangaa sana!
Maandamano ya Tarehe 9 itakuwa Kama mtego kwao sio kwamba hawajui wanajua sana maana watu wataandamana kwa amani bila uharibifu wa miundombinu ambao kwao ilikuwa kama kisingizio chakufanya mauaji this time hiko hakita kuwepo Sasa Kama wakaamua kufanya Tena mauaji itakuwa wamejizika rasmi na hawatakuwa na kujitetea Tena dhidi ya vyombo vya habari vya nje na kuanzia hapo ndio kutakuwa rasmi na vitaActions speak louder than words. Mabango sio lolote kwa viongozi wenye viburi dhrau kejeli ulafi wa madaraka. Lazima kifanyike Ktu ambacho kitapenya masikioni mwao
Wauaji wataona haya kuua tena kwa sbabu Kila kitu kitawekwa tena wazi kama nyeti ya mbuzi.Hii ya dunia kuangalia ndo tunapofeli
Kwahiyo wakiangalia ndo nini kitakachofuata?
Wewe utakuwa wapi?Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Kuna police waliouliwa na wajeshi na wapo wanajeshi waliouliwa na police mkuu maandamano ya D9 ni mtego kwa serikali any reaction yoyote ya serikali itaanzisha Tanzania kuwa na vita rasmi sio kwamba serikali hawajua wanajua sana wao ndio watakuwa na taadhari kuliko raiaKwani tarehe 29 hawakuwepo?