Siwauzii woga, ila ni tahadhali

Siwauzii woga, ila ni tahadhali

Hapo ndiyo patam ,kila mtu na mtu wake then game over.

Kilichotokea tarehe 29 serikali kwa kutumia askari wake wale mavi ya kuku walifanikiwa kwasababu hakuna aliyetarajia kama serikali ingeliweza kufanya yale waliyoyafanya.

Wakithibuti kufanya kama vile hapo Tar 09 December nisawa na kutoa tangazo rasmi la vita.

kwasababu family nyingi za askari zipo mitaani maana yake askari hawatakubali family zao ziukiwe so kitakachotokea ni askari kukabiliana na askari wenzao ,wanajeshi kukabiliana na wanajeshi wenzao na raia kukabiliana na raia wenzao na wanasiasa kukabiliana na wanasiasa wenzao.

Nikwambie tu kitu mkuu , askari wanaoungamkonp huu upuuzi niwachache sana tena hasa wale wakuu .

Wanajeshi wanaoungamkonp huu upuuzi niwachache sana tena Tanzania nzima wanaweza wasifike hata 100 .

Lanyongeza nikwamba kila mtu hadi sasa yupo tayari kwa lolote .

Hapa ndipo tulipo.

Wajitekenye waone , watu wanawatamani haijawahi kutokea.
Sawa, KARIBU SANA!
 
Sawa tuonane tarehe 9 Dec ,

Hamna Jiwe lisalia juu ya Jiwe.
The jackal mwanaharakati unarjifichaficha. Kwenye maandamano hutokei. Kutwa kuwa weka wenzio chambo!
Vijana msimfuate huyu. Hakika wazazi wenu wanaumia kwa hiki mnachokifanya. Mu mategemeo makubwa kwao. Fikiria kijana aliyejeruhiwa siku Ile akiandamana huo mzigo wanao wazazio sio Mange Wala Jackal.
Fikiria kuhusu wale waliopo vituoni Wana kesi ngumu za uhaini. Je watatoka Leo? Kama ni hapana basi musiwaumize wazee wenu!
Kijana hiyo siku hiyo kunywa maji Yako, kula chakula chako lala ndani kwa kutulia
 
Kwenye nyuzi kama hizi Kaa kimya,umeandika
Sana tangu Uzi wako wa "uislamu unapinga maandamano" "kiongozi sijui aheshimiwe,kwa mujibu wa uislamu" na BLA BLA kibao baada ya ya maandamano kutokea.

Sasa ni wakati ukae kimya Waache watanganyika wenye uchungu na nchi yao wafanye wanachoona inapaswa kufanya.

Vinginevyo wewe upo upande wa watesi wetu(maana tangu zamani upo upande huo Huku ukijificga kwenye dini coz wewe ni extremist).

Kaa kimya!!!!
Hii Jf na hii nchi sio ya mtu mmoja kila mtu ana uhuru wake kama unavyodai uhuru wako sawa ?

Nimeandaa nyuzi kibao tu sitokaa kinyonge kuacha watu wapuuzi wakieneza uovu Mimi kazi yangu ni kuandika tu wasikilize au wasisikilize shauri Yao .

Hata angekuwa kiongozi Kafiri kama Busu la Kenge
 
Kwenye nyuzi kama hizi Kaa kimya,umeandika
Sana tangu Uzi wako wa "uislamu unapinga maandamano" "kiongozi sijui aheshimiwe,kwa mujibu wa uislamu" na BLA BLA kibao baada ya ya maandamano kutokea.

Sasa ni wakati ukae kimya Waache watanganyika wenye uchungu na nchi yao wafanye wanachoona inapaswa kufanya.

Vinginevyo wewe upo upande wa watesi wetu(maana tangu zamani upo upande huo Huku ukijificga kwenye dini coz wewe ni extremist).

Kaa kimya!!!!
Siwezi kukaa kimya kuacha wapuuzi wakieneza uovu wao , hii Jf kila mtu ana uhuru na Mimi ni sehemu ya Tanzania Nina haki ya kutoa maoni ninayoona ya sawa .

Mimi simForce mtu kunifuata na sijali kama watanifuata au kunisikiliza kazi yangu ni kubainisha uwazi .

Misimamo wangu na wa Uislamu kuheshimu utawala na kulinda Amani sio kisa kiongozi Muislamu ndio nafanya hivyo kwa kumuona Muislamu hapana bali hata awe Kafiri kama wewe au Busu la Kenge misimamo haubadiliki nitasisitiza kuacha Fujo na kukuheshimu kiongozi bila kufanyia uasi dhidi yako.
 
Vyombo vya Usalama zinapokea amri kutoka kwa raisi na ndio maana mama akasema before ya maandamano kwamba hakutakuwa na nywinywinywi Wala nywi nywi nywi ulielewa vizuri hiyo kauli?
Sio kwa tz labda Marekani ndio wanaofuata hizo protocol
 
Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Matukio ya maandamano yaliyopita ni kama watu wengi walipigwa ambush. Hakuna aliyetegemea Samia anaweza kuamuru mauaji ya aina ile yafanyike. Hata wanajeshi na polisi wengi walikutwa na off-guard. Hapa nazingatia kuwa waliokuwa wanaua walikuwa wanatembea makundi madogo madogo na ilikuwa rahisi sana kuwadhibiti na kuchukuwa silaha zao. Safari hii waandamaji wengi wamesema wauaji wakifanya kama walivyofanya basi kitanuka!
 
polisi walikua hawana shida na watu walio kuwa wanaendelea na maisha yao, wao walikua wanatafuta wahaini na vibaka.
Sio wote waliouawa walikua vibaka ,pengine huna taarifa au pengine una sababu zako binafsi kusema hivyo,
Muuza duka mtaani kwangu aliuwawa ndani ya duka lake akapigwa za shingo mchele wote na unga ni damu tupu,

Angalia siku inakuja utasadiki maneno haya.
 
Swadakta mkuu, tarehe 9 tukuone mbele utuongoze kukiendea kifo
 
Polisi tunaishi nao kitaa... ni kufanya masacre kwa familia zao, watafute kwakuishi
 
Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Wao wenyewe watoa amri hiyo watakuwa wamejimaliza.

Hata hivyo inakulazimu uelewe kuwa hii ni vita. Kwenda vitani huendi na fikra kama unazozitumia wewe hapa.
Kuna jambo muhimu zaidi ya mtu kwenda mbele na kuweka uhai wake rehani.

Tukianza kuulizana maswali kama haya yako, basi hili taifa litakuwa limedidimia kabisa.

Waliokwenda kumng'oa Nduli Uganda, nao uliwauliza/watahadhalisha kama unavyofanya hapa?

Mambo mengine kama huna msukumo wa kukomboa taifa hili ni bora kuyanyamazia; kuliko kuwapa faraja hao wanaodhalilisha taifa hili.

Hii ni mada nyingine ya hovyo kabisa kama zile za enzi za akina Mbowe. Sijui watu wengine mmeumbwa vipi hasa!
 
Back
Top Bottom