4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,593
- 13,511
Nyakati huwa tofauti sana , kuna watu wameisha fika hatua ambayo hawaoni cha kupoteza , sasa watu wa namna hii , unafikili lipi la ajabu kwao,
Angalizo iyo order inaweza kutoka , ila wajue wenda kipindi ichi kisiwe kilio kwa wananchi tu bali pande zote . Ogopa mtu ambae amefika hatua ya mwisho uyu anaweza pita popote pale penye hatari bila kujiuliza mara mbili