Yeah, the same to my analysis.Hapo ndiyo patam ,kila mtu na mtu wake then game over.
Kilichotokea tarehe 29 serikali kwa kutumia askari wake wale mavi ya kuku walifanikiwa kwasababu hakuna aliyetarajia kama serikali ingeliweza kufanya yale waliyoyafanya.
Wakithibuti kufanya kama vile hapo Tar 09 December nisawa na kutoa tangazo rasmi la vita.
kwasababu family nyingi za askari zipo mitaani maana yake askari hawatakubali family zao ziukiwe so kitakachotokea ni askari kukabiliana na askari wenzao ,wanajeshi kukabiliana na wanajeshi wenzao na raia kukabiliana na raia wenzao na wanasiasa kukabiliana na wanasiasa wenzao.
Nikwambie tu kitu mkuu , askari wanaoungamkonp huu upuuzi niwachache sana tena hasa wale wakuu .
Wanajeshi wanaoungamkonp huu upuuzi niwachache sana tena Tanzania nzima wanaweza wasifike hata 100 .
Lanyongeza nikwamba kila mtu hadi sasa yupo tayari kwa lolote .
Hapa ndipo tulipo.
Wajitekenye waone , watu wanawatamani haijawahi kutokea.
Naiona D9 ikiwa ni giza nene, kuna clip ya DW inamuonesha askari police akichana bango la Samuya, then akalitia kiberiti. Yule askari aliwakishal hisia za askari wengi sana.
Matukio yalifanyika gizani, sasa wamexposiwa, wanajuta walichokifanya, mother kawaonyesha walilinda familia yake kwenye baraza.
D9 ni giza totolo!