Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,777
- 128,782
Kawaambie wasiojua lolote huko vijijini, kilichoendelea tulikiona. Hata hivyo usijali, tarehe 9 tunarudi tena barabarani na hao polisi wasigumse mtu uone kama kuna kitakachoharibiwa. Ila siku hiyo lazima mlete ushahidi wa wapi zimetokea kura 31m.polisi walikua hawana shida na watu walio kuwa wanaendelea na maisha yao, wao walikua wanatafuta wahaini na vibaka.