Kuna shairi la Profesa Joan Mwaikusa the late, kama nimepatia, linaitwa If we Must dieWakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Bob Marley "I shot the Sherrif but I swear it was in self defense"The way forward we also Shoot the killer or we kill the shooter by any means or kill the shooters familly as part of reprisal.
Hapo ndiyo patam ,kila mtu na mtu wake then game over.Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Ndio inatakiwa hivyoBob Marley "I shot the Sherrif but I swear it was in self defense"
polisi walikua hawana shida na watu walio kuwa wanaendelea na maisha yao, wao walikua wanatafuta wahaini na vibaka.Mimi naendelea kuamini.... Kama tusingepewa uhuru kwa kalamu, tungekuwa wa mwisho kupata uhuru wetu.
Wakati wa lockdown, nikatoka kuchukua mahitaji... Mara gari la polidi likawa linakuja, watu wakataka kuanza kukimbia, unauliza shida nini? Eti askari wanakuja, ni saa 8 mchana, zuio linaanza saa 12... Tunakuwaje waoga kiasi hiki? Of course polisi walipita zao bila kuuliza kitu.
Tunatengeneza mapicha picha tunawaepekea tena CNN. Mbona simple tu!!Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?