City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,094
Serikali na vyombo vya usalama ni vitu ttofautiSerikali na vyombo vya usalama ni vitu viwili tofauti kiufupi vyombo vya usalama wameamua liwalo na liwe na hawamsikilizi mtu maana hawana cha kupoteza
vyombo vya usalama ni Polisi ambayo ipo chini ya wizara ya mambo ya ndani, jeshi lipo chini ya wizara ya ulinzi, Tiss ipo chini ya wizara ya utumishi.
utasema wizara na serikali ni vitu tofauti?