Foffana Mkuu maandamano ya Tarehe 9 yamewekwa Kama mtego kwa serikali unajua kwanini? Maandamano ya October yalikuwa hayajapangiliwa vizuri ni kwasababu ilikuwa ni mara ya Kwanza kiistoria mipango haikukaa sawa, ya D9 yamekuja na fundisho kwa maana ya kwamba mpangilio umewekwa wapi inapaswa yafanyike tofauti na mwanzo maana hakutakuwa na uharibifu wa miundombinu kwa kupata fundisho kupitia maandamano ya awali badala yake watu watakuwa na mabango ya kuonesha Nini wanataka kipengele labda walete polisi lakini serikali wanajua Hilo hawawezi kufanya Kama October 29 Tena maana wao ndio watakuwa waanga Kama chochote kitatokea