Siwanawake wote wanataka Pesa

Hiyo ni Bahati yake usidhani nagawa iPhone hovyo
 
as simpo as that!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????/?????????????/?????????
 
Mpaka hapo bado sijajua nani mjinga, aliyetoa zawadi zenye thamani ya Tsh 2,000,000. siku ya kwanza tu ya kukutana na Binti au aliyezitupa zawadi zenye thamani ya Tsh 2,000,000. Kweli kwenye miti mingi hakuna wajenzi.
 
Ish...kwaiyo ndo tufanyaje sasa....hahaha watu hata kutunga stori inayovutia kusoma hawawezi...duh kweli elimu ya tanzania basi tena...
 
alitupa?????????????? asa si bora angeuza punga kweli huyo mmxxiiuuu
 
Wewe si ndo yule kaka uliibiwa na msichana wa arusha mbona muongo ww kama huna stor s ukse kimya

Cc. Mafikizolo
 
Last edited by a moderator:
Wewe si ndo yule kaka uliibiwa na msichana wa arusha mbona muongo ww kama huna stor s ukse kimya

Cc. Mafikizolo

HUJAITWA UNAITIKA!!! UKIITWA UTASEMAJEE?? HAHAHA ETI BEEEE KAMA BEBERU OVYOOOOOO

umenichekesha na signature yako tu......
 
Mpaka hapo bado sijajua nani mjinga, aliyetoa zawadi zenye thamani ya Tsh 2,000,000. siku ya kwanza tu ya kukutana na Binti au aliyezitupa zawadi zenye thamani ya Tsh 2,000,000. Kweli kwenye miti mingi hakuna wajenzi.

wajenzii wanakuwepoo ila inategemeana na ni aina gan ya miti hyoo
 
Kama Kongosho wangu! Hata tukilala njaa halalamiki maana anajua cha maana ni mapenzi na kutafuta sote! I love you my Konnie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…