Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.
Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.
Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!
Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.
Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii
Ametudhalilisha sana
Pimbi wewe umetumiwa na nani wakati hii ni copy & paste kutoka humu humu JF.
Angekaa kimya ungejua je haungi mkono? ama wewe unadhani kuanzisha uzi ndo issue?
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.
Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.
Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!
Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.
Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii
Ametudhalilisha sana
nnahic una mimba,na ur allegic with some one,Angalia kuna Uzi wa kiongozi flani anataka akishika dola atengeneze gongo labda ile hotuba itakufaa kama ya JK hujaipenda
Hotuba ilikuwa nzuri na yakawaida, ameitendea haki mamlaka ya rais,
Tatizo lipo kwa kizazi hiki cha nyoka, watu hawapendi kusoma wala kujifunza, mambo yote aliyoyaongea jk yapo katika maandiko mengi sana, ninashangazwa sana kuona baadhi ya watu wanamuona jk kama mvumbuzi wao wa histori iliyofichwa,
Huu sio uungwana kabisa ndugu zangu, hebu tujipe muda wa kusoma machapisho na maandiko ya kila aina, tutayaona makuu na ya ajabu kuliko hii
Ni lini na au wapi uliunga mkono chochote kile cha Rais Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete?
Rais kama Rais yeye ayumbishwi na mitazamo ya watu bali ni kuongelea kile anachoamini na chenye uthibitisho yakinifu.
Kupondea hotuba ya Mh. Rais eti kwa sababu ameonesha kuwa bila ya Tanzania mchango wa Hayati Mzee Nelson Mandela kwa Taifa lake usingeonekana,hii ni sawa.
Nadhani umesahau kuwa harakati za ukombozi kusini mwa Afrika na bara zima la Afrika base kubwa ilikuwa Tanzania,Hivyo ni vema na sawa kabisa kwa Mh. Rais wetu kuikumbusha dunia kuwa Tanzania mpaka kesho ni nguzo imara ya demokrasia na ukombozi katika Afrika.
Walichokifanya hao unaowasifia eti wanamsema vema Hayati Mzee Nelson Mandela ni kama vile kujiosha tu ili kuepuka aibu na fedheha mbele ya mataifa,hakuna lolote la maana walilolifanya juu yake pindi alipokuwa kifungoni zaidi ya kumuita ghaidi na mtukutu namba moja kusini mwa jangwa la sahara.
Ni vema tukawa wakweli katika hili kuliko kupotosha watu juu ya historia hii ya ukombozi iliyotoka na shujaa,mpiganaji na mwanamapinduzi wa kweli ambaye historia yake itaenda sambamba na wanamapinduzi wengine makini ambao kamwe hawakuogopa mashinikizo na vitisho vya mabeberu ambao miongoni mwao ni Baba wa Taifa hayati Mzee Julius Kambarage Nyerere.
Naunga mkono 100% hotuba fupi na nzuri ya Mh.Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa leo nchini Afrika Kusini na kusisitiza kuwa mchango wa Tanzania katika jumuiya ya kimataifa ni mkubwa sana ndio maana leo tumeweza kutapa nafasi hiyo hadhimu kwa kiongozi wetu kuhutubia dunia kupitia mazishi hayo ya Hayati mpendwa wetu Mzee Nelson Mandela.
Binafsi leo nimeweza kupata jibu la kile nilichokuwa nafikiri kuwa ni jibu la swali la "Kwanini Tanzania ni nchi Maskini" ""Tanzania ni nchi maskini kwa sababu uchumi wake kipindi cha nyuma ulitumika kwa ajili ya ukombozi wa nchi nyingine kusini mwa Afrika na Afrika kwa ujumla,kwa kufanya hivyo mataifa ya kibeberu yaliibania nchi yetu katika michakato mingine ya kuendelea kuukuza uchumi wake.""
Sina chochote cha kuongeza zaidi ya kusisitiza kuwa uzalendo ni ktu kikubwa sana hasa pale Rais wa nchi yako anapotimiza wajibu wake kwa ajili yako mbele ya macho takribani nusu billioni dunia kuelezea kile anachoamini au kile sote tunachoamini ni kweli.Hakika ni jambo jema la kujivunia katika historia ya dunia.
kuanzia 2010
nnliacha kumuunga hadi sasa,
kwa sbb alibaka demokrasia kwa kuiba kura, kama yule PM tarajali
Rais kama Rais yeye ayumbishwi na mitazamo ya watu bali ni kuongelea kile anachoamini na chenye uthibitisho yakinifu.
Kupondea hotuba ya Mh. Rais eti kwa sababu ameonesha kuwa bila ya Tanzania mchango wa Hayati Mzee Nelson Mandela kwa Taifa lake usingeonekana,hii si sawa kabisa.
Nadhani umesahau kuwa harakati za ukombozi kusini mwa Afrika na bara zima la Afrika base kubwa ilikuwa Tanzania,Hivyo ni vema na sawa kabisa kwa Mh. Rais wetu kuikumbusha dunia kuwa Tanzania mpaka kesho ni nguzo imara ya demokrasia na ukombozi katika Afrika.
Walichokifanya hao unaowasifia eti wanamsema vema Hayati Mzee Nelson Mandela ni kama vile kujiosha tu ili kuepuka aibu na fedheha mbele ya mataifa,hakuna lolote la maana walilolifanya juu yake pindi alipokuwa kifungoni zaidi ya kumuita ghaidi na mtukutu namba moja kusini mwa jangwa la sahara.
Ni vema tukawa wakweli katika hili kuliko kupotosha watu juu ya historia hii ya ukombozi iliyotoka na shujaa,mpiganaji na mwanamapinduzi wa kweli ambaye historia yake itaenda sambamba na wanamapinduzi wengine makini ambao kamwe hawakuogopa mashinikizo na vitisho vya mabeberu ambao miongoni mwao ni Baba wa Taifa hayati Mzee Julius Kambarage Nyerere.
Naunga mkono 100% hotuba fupi na nzuri ya Mh.Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa leo nchini Afrika Kusini na kusisitiza kuwa mchango wa Tanzania katika jumuiya ya kimataifa ni mkubwa sana ndio maana leo tumeweza kutapa nafasi hiyo hadhimu kwa kiongozi wetu kuhutubia dunia kupitia mazishi hayo ya Hayati mpendwa wetu Mzee Nelson Mandela.
Binafsi leo nimeweza kupata jibu la kile nilichokuwa nafikiri kuwa ni jibu la swali la "Kwanini Tanzania ni nchi Maskini" ""Tanzania ni nchi maskini kwa sababu uchumi wake kipindi cha nyuma ulitumika kwa ajili ya ukombozi wa nchi nyingine kusini mwa Afrika na Afrika kwa ujumla,kwa kufanya hivyo mataifa ya kibeberu yaliibania nchi yetu katika michakato mingine ya kuendelea kuukuza uchumi wake.""
Sina chochote cha kuongeza zaidi ya kusisitiza kuwa uzalendo ni ktu kikubwa sana hasa pale Rais wa nchi yako anapotimiza wajibu wake kwa ajili yako mbele ya macho takribani nusu billioni dunia kuelezea kile anachoamini au kile sote tunachoamini ni kweli.Hakika ni jambo jema la kujivunia katika historia ya dunia.
Rais kama Rais yeye ayumbishwi na mitazamo ya watu bali ni kuongelea kile anachoamini na chenye uthibitisho yakinifu.
Kupondea hotuba ya Mh. Rais eti kwa sababu ameonesha kuwa bila ya Tanzania mchango wa Hayati Mzee Nelson Mandela kwa Taifa lake usingeonekana,hii ni sawa kabisa.