Siungi mkono hotuba ya Rais Kikwete, SA

Siungi mkono hotuba ya Rais Kikwete, SA

Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.

Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii

Ametudhalilisha sana

Kuna point nzuri umeiona katika hotuba hiyo, hata hivyo kumbuka jinsi Kikwete alivyokaribishwa kuanza hotuba yake ile, makaribisjai alikumbushia sehemu ya Tanzania katika historia ya mapamabano ya uhuru wa South Afrika na ndipo Kikwete akafafanua mapambano hayo. Pamoja na kuipamba Tanzania kwa mchango wake katika ukombozi wa Afrika ya kusini, bado amemalizia hotube ile vizuri kwa kusema kuwa Mandela alikuwa ni Baba wa Watanzaia pia, na watamkosa sana.
 
Hukumuelewa kabisa. Hotuba yake ilikuwa "Superb". He made me proud to be a Tanzanian. Alichofanya Raisi wetu ni kuelezea historia, kuhusu uhusiano wa Tanzania na Mandela plus ANC. Alifurahisha sana sana.
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.

Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii

Ametudhalilisha sana
 
SIIPENDI CCM KUTOKA MOYONI LAKINI kwa JANA JK anastahili pongezi, aliifungua dunia na kuonesha umuhimu wa MWALIMU na Tanzania katika kuikomboa Africa sasa wewe ndugu yangu sikuelewi kabisa au unataka tubaki na sifa ya kusafiriasha unga na corruption tu? Think again little thinker
 
Ndio uwezo wako wa kufiri umeishia hapo?

speech ilikuwa na mapungufu kidogo kama pale ilipotaja suala la passport wengine bado au huenda wakawa wanazo kichama lina athari kwani tunaona hapa suala la kadi za ccm linavyochukuliwa kama issue kiongozi wa upinzani kuwa nayo
 
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.

Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii

Ametudhalilisha sana

Kikwete angekuwa mwanangu ningekuwa nashinda namchapa fimbo kila wakati
 
Jamani, kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe na hisia za mtu. Lakini pia kutaka kujua ni kwa kiasi gani wenzangu wameikubali hotu ya JK.
Naamini lengo lake limetimia, alikuwa anataka kuonesha kwamba ameikubali sana hotuba ya JK lakini aliogopa kuja direct kwasababu wengi humu JF huwa wanamponda sana JK.
Hata kama kingereza changu ni thee thee thee..., lakini hotuba imetulia sana. Nimeipenda!
 
Bravo J. K !
Hongera Jakaya due puttin Madiba's story in proper context .
Jk made full use of the opportunity that had been provided to him , by virtue of his country's immense.
 
Back
Top Bottom