Pamoja mkuu,
Siku zote watu wanafata upepo na wanafikiri kwa kutumia mawazo ya wenzao.
nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa madiba lakini yeye ameonesha kuwa madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila tanzania.
Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.
Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine nyerere kusahau viatu na yeye kumpelekea, inahusu!!
Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.
Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii
ametudhalilisha sana
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.
Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.
Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Nyerere kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!
Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.
Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii
Ametudhalilisha sana
We binti utakua mwanga si bure, JK alichoongea pale hakuna cha ubinafsi kwan historia ya S.A na TZA ndio zilivyo......na kuhusu viatu vya mandela kusahauliwa, mbona sisi kuna sehemu zinaalama za nyayo za mtemi huko Tabora na wati huwa wanaenda kuziangalia mpaka leo.
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.
Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.
Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Nyerere kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!
Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.
Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii
Ametudhalilisha sana
Ila wewe unaonekana Mtamu zaidi.Inamaana wanaume c watamu? Lol.. back to topic bana
Na hii ndio aina ya baadhi ya members tulionao JF sasa....Hajui hata anachokiandika. ..Eti Nyerere kusahau viatu!!
Samahani, naomba kukuuliza, wewe upo Shinyanga?
Andika hotuba yako mbadala uitoe mbele ya familia yako.
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.
Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.
Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!