Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Hii kauli hapa inaonyesha wazi kuwa wabunge wa CCM wanachowaza ni 'kuchachafya' upinzani tu, suala la kujadili masuala ya msingi yenye tija kwa maendeleo ya taifa sio la msingi kwao."Wabunge wa jinsi hii hawatufai' hawana Hoja za kuchachafya upinzani" alisema Sitta.
huu ni ukweli, CCM imebeba viroba kibao vya mchanga!!! na ndiyo maana inaelemewa si Bungeni tu bali hata majukwaani - badala ya sera inakuwa mitusi mfululizo.Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta , amesema, baadhi ya wabunge wa CCM Wakienda bungeni hawachangii lolote, hawaonekani Majimboni mwao, Wanabebwa na Chama, hawa ni mzigo
Wabunge wa jinsi hii hawatufai hawana Hoja za kuchachafya upinzani alisema Sitta.
Chanzo: Mwananchi, Jumanne, Julai 30, 2013
Wabunge wa jinsi hii hawatufai hawana Hoja za kuchachafya upinzani alisema Sitta.
kwani mzigo hupimwaje sita naye bwana.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta , amesema, baadhi ya wabunge wa CCM Wakienda bungeni hawachangii lolote, hawaonekani Majimboni mwao, Wanabebwa na Chama, hawa ni mzigo
Wabunge wa jinsi hii hawatufai hawana Hoja za kuchachafya upinzani alisema Sitta.
Chanzo: Mwananchi, Jumanne, Julai 30, 2013
Nae 6 ni mzigo kwa Taifa. tunachohitaji sio hoja za kuchachafya wapinzani bali hoja zenye kuamsha maendeleo. Mbunge hachaguliwi ili akapambane na wapinzani wao bungeni. Usomi wake uko wapi au ndio kukosa haya?yeye anajiona ana uzalendo gani kama anashindwa kuchachafya wabunge na wana CCM wenzake wanaofanya mambo ya ajabu ajabu kwenye nchi hii?Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta , amesema, baadhi ya wabunge wa CCM Wakienda bungeni hawachangii lolote, hawaonekani Majimboni mwao, Wanabebwa na Chama, hawa ni mzigo
Wabunge wa jinsi hii hawatufai hawana Hoja za kuchachafya upinzani alisema Sitta.
Chanzo: Mwananchi, Jumanne, Julai 30, 2013
Ajabu! Sijui mbunge wa chama tawala atauchachafya upinzani vipi tofauti na kuonyesha sera za chama chake kinavyojenga ustawi wa jamii kitu ambacho CCM wameshindwa.Hii ndio kazi ya mbunge kweli?
Naona mzee Sitta amekuwa Katibu Mwenezi wa mambo ya reja reja ya Chama!!!
"Serikali imevaa miwani ya mbao" by Filikunjombe.huu ni ukweli, CCM imebeba viroba kibao vya mchanga!!! na ndiyo maana inaelemewa si Bungeni tu bali hata majukwaani - badala ya sera inakuwa mitusi mfululizo.
kwa hili Sita lazima nikupongeze kwa kusema ukweli
Wabunge mizigo ni pamoja na lema,msigwa na sugu.
Naona mzee Sitta amekuwa Katibu Mwenezi wa mambo ya reja reja ya Chama!!!
Sitta ni mzigo zaidi. Amewahi kugushi risiti za dawa. Kiongozi gani mlafi hivyo!Wote mzigo tuu!
Mkuu, kafanya makubwa sana Urambo maana kajenga ofisi ya spika pale na sijui kwa nini dada Anne Makinda haendi kufanyia kazi pale!!!!!!!!!!!Na yeye je? Miaka mingapi sasa toka amekua mbunge? Na urambo ikoje basi nayeye mzigo samahani lakini
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta , amesema, baadhi ya wabunge wa CCM Wakienda bungeni hawachangii lolote, hawaonekani Majimboni mwao, Wanabebwa na Chama, hawa ni mzigo
Wabunge wa jinsi hii hawatufai hawana Hoja za kuchachafya upinzani alisema Sitta.
Chanzo: Mwananchi, Jumanne, Julai 30, 2013
Huyu mzee wa CCJ anakoelekea atakuwa chizi maana hizi resi ni balaa,ama kweli nyani haoni nyuma yake!!
Huyu mzee si alishawahi pigwa picha amedoro fofofo halafu haoni kuwa na yeye ni mzigo!Masisiem ni ukoo wa panya baba mweizi mama mwiz.........
Mkuu Safari_ni_Safari tubandikie picha ya hilo gamba 6 likiwa limelala bungeni..