kistwangara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 656
- 94
Kama chadema ilivyo mzigo kwa watanzania.
Elimika Jinga wewe, km chadema mzigo mbna magamba wanahaha kujinusuru? Na mtaona mtahama tz ohooo maana vingnevo ni jela inawasubiri
Kama chadema ilivyo mzigo kwa watanzania.
Kuwachachafya wapinzani!!?, nilifikiri kuleta hoja za kulipeleka mbele taifa.
Karudiana na Mkewe juzijuzi tu baada ya kuona analishia urais!
Duh
Ya kweli haya mkuu?
Kwani waliachana?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jiranu yangu maeneo ya Jackies pale alisumbua sana miaka ya kati ivi, ikabidi aeleweshwe kama anataka urais inabidi atulize dushelele nyumbani.
Kama CCM ilivyo mzigo kwa Watanzania!!!!!
Huyu mzee anasemaga kweli wakati mwingine ndo maana walimpumzisha uspika.
Ha ha ha ha ha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hujasema kitu kipya hapa, ni marudio tu tena yale ya copy, edit and paste!!!Kama chadema ilivyo mzigo kwa watanzania.
Msukule Mweusi ccm ni mzigo mkuu. Ukiwa na sera zako zilizonyooka lazima wakupindishesamweli sitta alikuwa mzigo pia kwa maccm ndio maana walimtemesha uspika wa bunge, shame on you samweli sitta, kipindi fulani aliwapelekesha sana magamba kumbe walimchora ilivyofika muda wakamfurusha kama kibaka mwizi, shame On him.