ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
mizigo kwa serikali ya magamba ama wananchi? Fafanua mkuu!Wabunge mizigo ni pamoja na lema,msigwa na sugu.
mizigo kwa serikali ya magamba ama wananchi? Fafanua mkuu!Wabunge mizigo ni pamoja na lema,msigwa na sugu.
ni kweli mkuu, lakini nani wa kumuangalia kwa hilo jicho? Maana mwigulu na wenzake wako busy kushambulia upinzani, huku wakimwacha huyu 6 aendeleze upinzani wa ndani ya ccm!Mkuu huyu naye ni kuangaliawa kwa jicho pana kidogo.
kweli naye ni mzigo kwa hayo!!msumeno
Hujasikia amejenga ofisi za spika pale Urambo?...unadhani lobbying ndogo hiyo?
Teh teh teh!Mkuu hii imeanza lini?au umerukwa na akili?Kama chadema ilivyo mzigo kwa watanzania.
Watu hamna shukran! Akikaa kimya mnamsema ooh kanunuliwa ndio maana kawa bubu. Akikikosoa chama chake bado mnamsema sasa lipi jema kwenu?
Wabunge mizigo ni pamoja na lema,msigwa na sugu.
Urambo iko kama Pretoria
wataje sio kuingilia kazi isiyo yako kwani wewe ni nani kwenye ccm? katibu mwenezi au katibu mkuu?
Wabunge mizigo ni pamoja na lema,msigwa na sugu.
jema kwetu aende chama kingine tutulie na unafiki wake huyu jizere
Kama chadema ilivyo mzigo kwa watanzania.