masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Mkuu , miye mzigo wangu mmoja tu nausubiri 2015-Halima Mdee.We mzee wacha kabisa kujidanganya, hili bunge la sasahivi bila wabunge wa Chadema kila kitu kinakuwa cha hovyo na bunge linakosa mvuto. Ilipotokea milipuko ya Arusha na wabunge wetu kuondoka bungeni bunge lilipwaya sana hadi kufikia hatua kupitishwa kwa kodi ya kijinga kabisa ya simcard ambayo baade mabunge mizigo hayo hayo ya ccm yakiongozwa na January yanataka sheria ya fedha ya mwaka 2013 irudishwe bungeni kufanyiwa marekebisho.
Huwezi kumfananisha kamanda Halima Mdee na mbunge yeyote kijana ndani ya ccm, she is far better than anyone, huwezi kumfananisha kamanda Mnyika au Sugu na hiyo mizigo yenu. Kamanda Mnyika anasema na kutenda, Kamanda Sugu anasema na kutenda na hilo unalifahamu lakini kwakuwa mizigo huko ccm ni mingi angalia na wewe usijekuwa ni mzigo basi tu hujatambulika.
Akipita ubunge nakula kadi yangu ya CCM!!!!