Sitongozwi, nini tatizo?

Sitongozwi, nini tatizo?

Kama uko 23yrs na hutongozwi usipate tabu pitia maeneo ya jeshini
Wale jamaa hata uwe huna sura wao hawaachi kitu

Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wazur n smart sometime wanaume tunawa over rate,yaan tunaona "huyu hawez kosa bwana" n mi nkienda najisumbua tuu..so jarib haya..1.usipendeze saaana,kua wastan..2.usinune,meaning usionyeshe sura ya kaz mda wote,.maana kuna wadada wanakuaga serious sana had unamwogopa..3..penda kutoka,have fun,sio ujifungie tu ndan..4..ukiongea na mtu jib kwa upole,be humble,b a woman,onyesha uoga uoga flan hata kama si kwel..
 
sipendagi watu wa mitandaoni
Dada mbona haueleweki umeweka bango mwenyewe afu unasema haupendi wa mitandaoni what if ukute mie wa mtandaoni ndiyo muumini mwenzio kanisani na jirani yako pia hapo nyumbani?

Afu kingine kama wewe ni antisocial ina maana sio mtu wa kujichanganya kwa taarifa tu ukiendelea kwa style hii utatongoza na kijana wenu kwa kazi hapo kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twendelee kuchart watsap huu Uzi wambie mods waufunge hata mi nilikuwa sijampata wa kumtongoza asante mungu amekulata mda muafaka

sending using jamiiforum makinikia
 
Binti.
Kwanza kioo kinadanganya ujue coz uko over confident ukajiona mzuri sana kumbe sio.
Pili nakuona ni msichana mwenye maringo kutokana na maandishi yako unavyo yaweka.
Tatu unaonekana ni "miss know everything" wanaume huwakimbia wasichana wa namna hii.

Badilika, wanaume hawaangalii sura na shepu labda kama unataka "hit and run"
 
Just relax... Kutongozwa sio issue as long as you know what you want.. Have a standard and let someone of value come and make life with yu!!
 
tehe tehe tehe Mungu amesikia kilio chako maana unaenda kutongozwa sasa hadi utaomba POOOOOOOOO
 
Tubadilishane mimi umri sio haba sana, ila sasa hivi vitoto vikimaliza tu chuo na kupata kakazi au ka boom ooohhh madam i love youu. Najiuliza ni huu mwili mdogo au baby face au nna mambo ya kitoto wananiona size yao?

Kipaji hiki anacho zarina na Bi Khadija mke mkubwa wa mtume S. A. W
 
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
unajua sio boys wote wanaweza kuku seduce faster faster bila kujua una reflect vp vile uki meet nae or ukiwa una talk nae,
sometimes hua tuna itaji ww mwenyewe utu boost cc tuku seduce...
just
be simple
mpe nafas azungumze
usioneshe zarau zarau

jus be simple but ucjitongozeshe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom