Sitongozwi, nini tatizo?

Sitongozwi, nini tatizo?

Mkishaanzasha kuitafuta 30, jeuri yenu kwisha.
Nawasubiri na wenzio humu, soon utaanza kuwashauri wenzako wanaume sio kitu na sio lazma kuolewa.
 
Kwa kawaida au mara nyingi mwanamke umtongoza mwanaume kwa kutumia ishara (body language) [kwa wanaojua mpira wa miguu, ni kuwa mwanamke anatoa pasi ya mpira, mwanaume anafunga ila kuna wakati mwingine mwanaume ataiomba pasi, ila ukiwa kwenye mkao wa kutoa hiyo pasi]. Swali, inakuwaje? Jibu, inakuwa kama ifuatavyo:
  • mwanaume ambaye unaona anakufaa ukikutana nae popote pale mkitazamana onesha tabasamu kwa mbali halafu unalichanganya na aibu kidogo,
  • kama mmekaa sehemu basi mwangalie mwangalie mara nyingi lakini kwa staha na ustaarabu,
  • weka sura yako laini muda wote ambapo unaona kuna chaguo lako; sura laini maanake inayoonesha uchangamfu mwilini au isie kama ya mgonjwa au umemeza dawa chungu,
  • kama unafanya kazi ya kuhudumia wateja, basi ikitokea kuna mteja ameingia kwenye orodha yako ya vigezo, basi uwe mchangamfu kuliko ulivyoelekezwa na ofisi yenu,
  • jitahidi muda wote kuwa wewe kama wewe muda wote hasa unapokuwa karibu na wawindwaji,
  • muulize mwanaume unayemlenga maswali hata ambayo obvious kabisa, mfano, ukiwa eneo la Kanisani unauliza ofisi ya katekista!! Au hivi ofisini kwenu huwa mna likizo ya X-mass?
  • ukikaa kwenye workshop kama viti viko karibu karibu basi kaa karibu na target yako, halafu jitahidi ukae kwa namna waweza kumgusa kidogo ili a-feel kwa mbali hip yako kwa kama dakika moja halafu ondoa hip yako,
  • omba msaada kutoka kwa target yako hata kama unaweza kufanya jambo hilo, halafu wakati unaelekezwa onesha kuwa unaelewa vizuri halafu badala ya kufuata demonstration wewe mwangalie usoni
Nina orodha ndefu sana kutokana na uzoefu wangu, ila sijakuelewa vizuri, unataka kutongozwa au kuolewa? Kama kutongozwa na kupewa dose kwa maelekezo hayo machache juu homa yako lazima itashuka tu.
Mkuu umeeleza vizuri sanaa ila hapo chini umeharibu kiaina
 
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
Tatizo lako una Kishuzi wakati watu tunapenda Mijishuzi.
 
MIAKA 23 ,UKO DESPERATE NA UNASEMA UNAJIAMINI?
ah anyways!wacha wakutongoze.
 
Lol.... hutaki wa mitandaoni lakini umepost mtandaoni....hahaha no wonder......

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
ahahahh
dada kwani wakwenye mitandao wanatokea sayari ya pluto!?
si wamo humuhumu duniani na wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
aaaahhhh, alisahau kama watu ni wale walio hum ndo wapo mtaan, maofisin, fb, wasap, na mitandao yote ya kijamii. pia wengine n marafiki zake kabisa wa karbu. ila bint unaonyesha ni selective sana.
 
Uwezi olewa na mtu usiemfam kwa karne hii. kama we maisha yako ya kimtandao utapata mtandaoni, na si kwel km hutongozwi. unatongozwa ila unatakaa et sitaki wa mitandaoni...,,!!!!!
mahusiano ni njia ya kufikia ndoa ukiona hapa sipo anaacha unatafuta mwingine.sasa utaazeeka
 
Try to watch your attitude! Katika haya maisha, attitude ni kitu cha muhimu sana. Na kwa mwanamke kuwa over-confident ni tatizo pia hasa kwenye mapenzi na mahusiano. Haitajalisha ni mzuri kiasi gani lakini ukiwa na attitude mbaya kuanzia kwenye kauli, body language na hata tabia kiujumla basi utafanya wanaume ambao wapo serious na relationships washindwe kufunguka kwako. Nimesoma baadhi ya reply zako kwenye baadhi ya comment za wadau lakini nikakutana na F words za kutosha. Punguza ujuaji sana na kujiona superior!
 
Back
Top Bottom