Sitongozwi, nini tatizo?

Sitongozwi, nini tatizo?

Kichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?

Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?

Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?

Embu nifarijini guys.
Tatizo unaongea sana na unajiona unajua kila kitu. Kikubwa zaidi unajiona we ni mzuri na kwa sababu ya kuwa selective taarifa zishasambaa. Una choice mbili ubadilike au uhamie eneo jingine. Wanaume hawapendi MTU mjuaji
 
Hata kutoa ofa ya maandazi huwezi. Mtafute unayempenda mvae mwambie unataka akuelekeze business ila usivue pichu
 
kwani wenye sura ya kiume hawatongozwi jamani? teh nimecheka kwa nguvu ujue
Jamani hata kama ungekuwa ni Wewe unakutana na msichana kafanana na baba yake halafu baba yake ndo "mimi" au "Tyson wa Tz" naamini usingemtongoza
 
Hapana kil

A mtu ana kivutio chake, anaweza kufanana na baba ake halafu usichomoke hapo
Teh teh nimeongea tu sina experience
 
Tatizo la wasichana km wewe mtoa mada huwa mnakosea kwenye kuanza tu mahusiano boy friend unataka umcontrol utadhani umemuumba wewe dat huwa tunawakimbia fasta kuhusu kutongozwa jenga tabia ya kuwa social na friendly kwa boys sio ukiona boy unakunja uso km ana makinder anajibizazana na tunduu lisu bungeni
 
me siwezi na sijaona wa kumtongoza
Sasaa unachotaka nn??? Kama hujaona wa Kumtongoza maan yake amna atakayekutongoza ukamkubalia!! Unachotaka we n attention 2uu. Muda mwngne kuwa mwanamke mzur co xabab kila mwanaume akupapatikie. ....
 
ukiona hutongozwi ujue mvuto ni -0! huna mvuto! you seems to be unattractive, i don't whant to be alone, but with you! i'd rather be!
 
Kichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?

Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?

Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?

Embu nifarijini guys.

Hujakutana na mimi?
 
Naomba ni dm nianze kukufariji jioni baada ya kazi za ofcn
 
Kichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?

Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?

Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?

Embu nifarijini guys.
Aisee umebuni vizuri tangazo lako aisee
 
Weka picha yako tukuone kwanza, then ndo tukushauri cha kufanya
 
Back
Top Bottom