Kwanza fahamu kitu kimoja muhimu ukiwa mwanafuzi watakaokutongoza wengi huwa wanafunzi wenzio. Ukiwa mfanyakazi wa ofisini ndio utatongozwa na hao hao wafanyakazi wa maofisini wenzio. Na ukiwa mfanyabiashara mara nyingi wafanyabiashara wenzio ndio watakao kutokea. Na ukiwa mtu wa kanisani waumini wenzio ndio watakao kutongoza, au hata mtu wa mtaani au wapangaji wenzio. Sababu kuu hawa ndio watu waliokuzunguka hasa kama wewe sio mtu wa kujichanganya na watu. Kwahio ukiwa hapa mtandaoni kuna watakaokuja PM na kukueleza yalio moyoni, wapo wakweli na waonjaji huwezi kumjua yupi ndio yupi. Bila ya kukata tamaa inawezekana kuna mwanaume anakuangalia hivi sasa nyendo zako kama umetulia au kiruka njia. Kama akiona umetulia na una sifa azipendazo kuna siku atakuja na kukuondolea kiu ulionayo. Nakutakia kila la kheri ktk maisha ya kila siku.siwezi date na wa mitandaoni
Hili nalo nenosipendagi watu wa mitandaoni
si umesema wataka kutongozwa?Labda mwenyewe wajiona mzuri lakini kumbe wanakuona kama bada la juzinisaidieni kivingine,ushauri,maoni,anything else. Sio kwamba nimeleta hii topic ili nipewe mwanaume NO,natak tu nijue wapi nakosea
Au labda una jinithats nat true,am fuckin pretty and i know it ndomana am asking whats wrong with me
Then peleka tatizo lako dawati la jinsiasipendagi wa kwenye mitandao mimi
Anataka ushauri tu jomonidada kwani wakwenye mitandao wanatokea sayari ya pluto!?
si wamo humuhumu duniani na wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
me nahitaji ushauri tu,sio mwanaume,esp wa mitandaoni,no
unataka ushauri kutoka kwa wanaume wa mitandaoni lakimi huwataki
siwezi date na wa mitandaoni
dada kwani wakwenye mitandao wanatokea sayari ya pluto!?
si wamo humuhumu duniani na wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
Kosa lako la pili liko hapo...i have a pretty face and i know,u don have to trust me,sema kingine