Sitongozwi, nini tatizo?

Sitongozwi, nini tatizo?

nisaidieni kivingine,ushauri,maoni,anything else. Sio kwamba nimeleta hii topic ili nipewe mwanaume NO,natak tu nijue wapi nakosea
Hupendi wa kwenye mtandao ila unapenda ushauri wa kwenye mitandao kama hadi hapo hujui wapi unakosea basi IPO shida.....MTU mwenyewe unaonekana full nyodo.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
i have a pretty face and i know,u don have to trust me,sema kingine
Na inawezekana hili la kujiona mzuri likawa ni tatizo lakini ww hujui ni tatizo.......wanaume wanaangalia vitu vingi sio sura tuu.....sura ndani ya muda mchache itazeeka.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
siwezi date na wa mitandaoni
Kama huwezi date na wamitandaoni umefata nn sasa so uwaombe huo wa makalioni ulionao hapo mtaani kwenu wakutiiiiiiiiiii. Malizia..
Nanga brigedia wew

acha uongo
 
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.

Mbunye haitemi / hainuki mara kwa mara hata ukiwa tu Kitaani?
 
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
Kama jf unatumia hadi vipambishi mzanio vingi hivyo mdogo wangu sasa huko kitaa unavitumiaje mdomoni
Binafsi badilisha namna wa kujamiana , kushirikiana na matumizi mazuri ya mawasiliano pasipo kutumia hivyoo VIPAMBISHI MZANIO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We hujielewi ndio maana hamna mtu mwenye mpango na ww...endelea kujiona babkubwa!
 
sipendagi watu wa mitandaoni
Mbona umeomba ushauri mtandaon hawa nao watu na hapo unakosea kwan waweza kuta hapa jf ndo mmeo yupo wewe unasema hupend wa mitandaon bas na ushauri wa mitandaon usiukubali wala kuuomba mwisho naomba kapicha kako nithaminishe kishuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
Punguza maringo
 
Ni rahisi kumjua mtu hata kwa jinsi anavyo andika. Mtoa mada ana dharau na maringo. Punguza dharau na maringo utapata unachokitafuta kabla ya mwaka haujaisha.
 
Hayo unayoyaona kama sio 7bu, ndo 7bu zenyewe. Btw a beauty of something lies on z eyes of beholder. Pengine wasio wa mitandao hawakuoni kama ambavyo unajiona. Punguza mashauzi na kujitenga uwatengenezee vijana confidence ya kukufata.. Tupo pamoja bibie girlie
 
thats nat true,am fuckin pretty and i know it ndomana am asking whats wrong with me
In reality ww ni mbaya alafu hujijui km ni mbaya kwa kizazi hiki wanaume hatupitwi forward zinapiga mashuti ya mbali wewe unakuaga wapi??
Ushauri wangu, badili life style yako punguza mbwembwe na nyongo zisizo na mashiko maana kila unavyo muomba Mungu anasikiliza maombi yako anaweza kuwa ameshakujibu mtu amekutongoza ukamuona sio type yako Mungu nae ameamua kukusilizia kwanza ule msoto, die tuliomo kwenye mitandao ndy hao hao tulioko mtaani, ndy hao hao tunaoendesha magari, ndy hao hao ambao huwa unatuona kanisani na ndy hao ambao mmoja wetu anakupenda ila unamchukulia poa kwa kujiona matawi ya juu.sasa pambana na hari yako km hutongozwi watongoze wewe maana Mungu majibu yake huwa hayana formula inawezekana umepangiwa mume bubu atakutongozaje sasa akituma sasa hujibu unataka umuone live na live hawezi kuongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume hawapendi mwanamke anayejifanya "matawi", mvivu wa tabasamu, anayeshinda kanuna. Rekebisha haiba usoni mwako, kisha badilisha pango ama makazi ili ukawe mpya uendako.
La mwisho, tongozeka, ninamaanisha msikilize kwa makini kila anayekutokea.
Katika kuwasikiliza huko usiwe mwepesi wa kupiga kura ya hapana.
Mwanamke mjanja hakatai mwanaume. Humkubalia kila mtongozaji, ila watongozaji hujichuja wenyewe kutokana na muendelezo wa malengo ya mawasiliano yenu.
Kwangu mimi mwanamke anayevaa sura ya kikatili, maringo na mtukanaji huwa nawanasa kiurahisi kuliko hata kusukuma mlevi.
Ninashangaa wanakugwaya kwa lipi. Maana nijuavyo mwanamke hana sura.
Mwanamke ni jinsi na anatafutwa na kila mtu. Tatizo ni nini'apo?
Fuata ushauri niliokupatia kama huduma ya kwanza, kisha nipe mrejesho.
 
Back
Top Bottom