- Thread starter
- #41
girlieWanaume wenye maringo kama wewe mara nyingi wanawake hawawataki maana tabia zenu zinakuwa sio
usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
girlieWanaume wenye maringo kama wewe mara nyingi wanawake hawawataki maana tabia zenu zinakuwa sio
usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
Hahahahah...nice try!!!sipendagi watu wa mitandaoni
idk,maybeapo ndo unapokosea....there is no formula utampatia wap....just keep all the options open
Sent using Jamii Forums mobile app
gatchuShow me that pretty face.....its nt always abt the looks thou
1st impressions matters alot
Wewe unajiona mwanamke ila siyetunakuona ni mwanaume mwenzetu ndio maana hatukutongozi


dah umeua mzeesio na wa mitandaoni ka wewe
hata sitaki wa mitandaoni mieAhahhh kwa sifa hizo watakuja mkuu kukutongoza pm halaf uje useme tena una gundu
Hili ndio tatzo lako..nadhani jibu umepata.sipendagi watu wa mitandaoni
is it that bad kua antisocial???[/QUOT
😕😕😕😕😕😕
gulitySasa unajua mungu atakuletea huyo mume kwa staili gani ???unajuaje kama atakupa kwa kupitia kwenye mitandao .
Sent using Jamii Forums mobile app
lolidk,maybeSymptom mojawapo hiyo. You still selective af
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
thats nat true,am fuckin pretty and i know it ndomana am asking whats wrong with me
sio na wa mitandaoni ka wewe
Itakuwa una sura mbaya sanakichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
sijaleta tangazo KUTAKA mwanaume rather ushauri,gat me???
Tatizo sio wanaume na wala hauna gundu tatizo kuu ni wewe ukijitahidi kubadilika utapata mwanaume uwe na usiku mwemahata sitaki wa mitandaoni mie