Vipi ni raha kuliko kuhongwa?Japo kutongozwa raha sana asikuambie MTU .. Au kujitongozesha ili utongozwe weeee hatari
Basi kaa ivyo tu uwache kulalama kuwa hutongozwi!sipendagi wa kwenye mitandao mimi
Asa wa mtandao c ndo haohao wa mtaan tuusipendagi wa kwenye mitandao mimi
Sasa hapo shida ipo wapi kama utongozwi basi anza wewe kutongozakichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
and thats it girlie... tatizo lako kubwa ni KUTOKUWA na tatizo thats a problem...kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
Sawa, kama hupendaji watu wa mtandaoni ni vizuri cha kufanya niambie uko wapi ili nije babe!sipendagi watu wa mitandaoni
Ona sasa unavyokuwa selective, bado tu hujaacha hii tabia kumbe, kumbe tatizo unalo mwenyewe, sizani kama kuna tatizo jingine jirekebishe tu.sipendagi watu wa mitandaoni
siwezi date na wa mitandaoni
Kwaio basi hata ushauri unaopewa wa "mitandaoni" ni utakuwa wa kipuuzi. Kwaio kiukweli haina maana ya kushauriwa. Nenda sehemu ambazo sizo za "mitandaoni".siwezi date na wa mitandaoni

Tupia namba binti tulo serious ktk mahusiano tukucheck, na ukiwa unaenda kuoga baharini nishtue ili ikibidi tukaoge sote.