princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,197
- 2,052
Habarini za muda huu wakuu
Leo saa3 asubuhi nikiwa kitandani mara simu yangu ikaita "Bwii bwii,bwii bwii" nikashtuka kupokea chaliangu mmoko ananiambia kuna manzi kaniandalia.
Khaa!! What a fcuk!! Kaniandalia mamiloo kivipi tena? Ikabidi nimwambie anipe michapo vyedi, ndo akanipa full mkanda namnukuu "Oy dingilai Mikazo eeh!! Sikiliza ariff,vkuna mamsi nisham-setvyaani kashaelewa kila kitu we unachotakiwa ni kuonana nae tu ukamfekeche kwa fas ya bed ariff. Nakusababishia contact za kitilili ake kila kitu kinakua echu echu"
Babaako nilivo mwoga wa kutongoza mamanzi coz nishazoea mamanzi kunitongoza wenyewe hadi nikalemaa kutongoza, waga naona aibu kisoro kumtokea mamdii. Babaako nikaona maisha si ndo haya sasa chaliangu, wazee wa kitonga kusololoa free boat. Mjuba nikamwambia anitumie picha ake nimdeku hata sura yake, jamaa kan'tumia Dah mashaallah! Mamiloo sura anayo ila kishundu uko fiade ndo hana, nikasema kwere kwerekweche aikatox coz me napendaga dem awe na sura ila kishundu sio kipaumbele kwangu.
Basi nikampanga tukutane lodge flani akanambia fresh. Ile nimefika nika-mute nikajificha kwanza ndichi ili mimi ndo niwe wa kwanza kumuona kabla yeye hajaniona nisije kuuziwa mbogo kwenye gunia nikapigwa 70. Mara SMS ikaingia kwenye Ng'ora yangu "My nshafika we upo wapi?"
Khaa mbele namuona manzi kavaa blue skin tight, khaa.! Kubabeki manzi mbaya kinyama yaani sio yule wa kwenye picha kabisa, huyu mweusi kama chai. Sikujibu sms yake ikabidi nimsogelee ili nimuone vizuri. Lahaulah lakwata..!!Sikuamini macho yangu usoni kwanza chunusi kama viwango vya desimali. Nikapita karibu yake eti ananiuliza, "Au ndo wewe my?" Nikamjibu Mimi nini sasa unanijua, we dada vipi? Nikachukua njenje yangu nikapita hivi
Yule chalii alieniunganishia sms ya kwanza kumtumia ni matusi Chalii eti akacheka! Nikasema Barida barafu...Sirudii tena kutongozewa manzi!
@ChaliiYaKijengeJuu.