Sitarudia tena kutongozewa mwanamke

Habarini za muda huu wakuu..Leo saa3 asubuhi nikiwa kitandani mala simu yangu inaita"Bwii bwii,bwii bwii"nikashtuka kupokea chaliangu mmoko ananiambia kuna manzi kaniandalia,Khaa..!!what a fcuk!!kaniandalia mamiloo kivipi tena?ikabidi nimwambie anipe michapo vyedi,Ndo akanipa full mkanda namnukuu"Oy dingilai Mikazo eeh!!,,Sikiliza ariff,kuna mamsi nisham-set. yaani kashaelewa kila kitu we unachotakiwa ni kuonana nae tu ukamfekeche kwa fas ya bed ariff,Nakusababishia contact za kitilili ake kila kitu kinakua echu echu"Babaako nilivo mwoga wa kutongoza mamanzi coz nishazoea mamanzi kunitongoza wenyewe hadi nikalemaa kutongoza,waga naona aibu kisoro kumtokea mamdii,Babaako nikaona maisha si ndo haya sasa chaliangu,wazee wa kitonga kusololoa free boat,,Mjuba nikamwambia anitumie picha ake nimdeku ata sura yake,,jamaa kan'tumia Dah mashaallah!Mamiloo sura anayo ila kishundu uko fiade ndo hana,nikasema kwere kwerekweche aikatox coz me napendaga dem awe na sura ila kishundu sio kipaumbele kwangu,Bac nikampanga tukutane lodge flani akanambia fresh,,Ile nimefika nika-mute nikajificha kwanza ndichi ili mimi ndo niwe wakwanza kumuona kabla yeye hajaniona nisije kuuziwa Mbogo kwenye gunia nikapigwa 70,Mala sms ikaingia kwenye Ng'ora yangu"My nshafika we upo wap?"Khaa mbele namuona manzi kavaa blue skin tight,khaa.!Kubabeki manzi mbaya kinyama yaani sio yule wa kwenye picha kabisa,uyu mweusi kama chai,sikujibu sms yake ikabidi nimsogelee ili nimuone vizuri,Lahaulah lakwata..!!Sikuamini macho yangu usoni kwanza chunusi kama viwango vya desimali,Nikapita karibu yake eti ananiuliza"Au ndo wewe my?"Nikamjibu Mimi nini sasa unanijua?we dada vipi?nikachukua njenje yangu nikapita ivi..Yule chalii alieniunganishia sms ya kwanza kumtumia ni"Qumamako wewe"Chalii eti akacheka!Nikasema Barida barafu...Sirudii tena kutongozewa manzi,,,

@ChaliiYaKijengeJuu.
Kama nakuona arifu ukajipigilia kitu ya Ar kwa hewa mixer kwa pokee kitu nyagi na puturuuu 🤣🤣🤣🤣
 
Wape hi hapo mashavuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoelewa tu mweusi kama chai, mkuu sisi weusi hamtutaki kwa nn mnatubagua hivi

@chaliifransisco ukuje unieleweshe alichozungumza chuga mwenzio
 
Huh.!!mmhhmm mbona we mweupe kabisa cheki apo kwa fas ya mgongo nicheche mamiloo..!!BTW African beauty ni wazuri pia ila sio kwa yule mamsi aseeh.!!
 
Ulikuwa domo zege nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom