Nimemuokoa demu alikua akipigwa na wahuni

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,051
Ni ajeee wana wa humu Ndichi hopefully mambo ni full yeng'eng'e...Basi bhana Jana Night baada ya kutoka kwenye Mbanga zangu za kusakanya Moneygram mjuba nikaona bora nipitie Shola(Shop)Nijipoze ata na Pepsi Big mambo yawe yechu yechu...Nikiwa dukani pale kwa chaliangu mmoko ivi Msukuwise toka Shinyanga Tunamwitaga 'Ngosha'Mala nakadekerea Ka'manzi flani hivi kana'chill jirani etu kwa fas dwalala ariff...Mwaka jana mwezi wa 10 kipindi nasololoa chuo kalikua bado kadonyo kinyama yaani kadogo alaf kamekaa kiree tu kindezi ndezi,na kalikua na umri kama miaka 15 hivi kapo Form1...Lakini saiv chaliangu eti kamekua...Nikawaza nikarukie nini knich knach???Roho ikagoma ikabidi. niwaulize wajuba waliokua wamechill pale wanakula vitu vyao adimu ambao walikua wajukuu wa Bob Marley na Snoop Dawg kwa muda ule..Hiiii!!Wana si wakasema ka'manzi wanakabalaza na kukasaga kinyama wahuni wa K-Juu.!!Ayaa mbona bado kadonyo asee!!niliwaza but nilishangaa kukadekerea kana iPhone mkononi khaa..!!Ila sikushangaa kiivo may be Mshua ake kakagei...Haikuchukua time mala akatokea chalii mmoko ivi mshamba sijui mbulu wa Karatu ndichindichile kule ndo akawa anabofonga nako pale niaje kimahaba,Me nikajisemea ishii Hii Chuga dingii unakuja kuleta Mapenzi road asee ariff unakuja ku'lost!!Wana wakanambia kuwa yule Chalii ndo anasimamia show Kwa ka'manzi,Nikiwa bado nashangaa shangaa kidandara Mala ghafla ma'raia shazi wahuni kama wa5 ivi wakatokea pale wakawaweka kati Kile ki'manzi na yule boya wake"Yaani we K.uma me nakununulia phonenga alaf nakuvutia ng'ora hupokei,Natuma texts hujibu manina wewe!"Alisikika Chalii mmoja aliekua kajaa suma ile laana...Ikabidi nisogee eneo la tukio kudeku whats goin' on right there...Chalii alihoji tena"We Malaya wa Kijenge ng'ora niliyokununulia iko wapi?"Kale ka'manzi kitilili(Simu)kalikua nayo ila kakamgei yule chali'ake wa mala ya kwanza yule mbulu ndezi ndezi flani ivi...Kumbe wale waenduru walishtukia soo akati anapewa ile ng'ora so Yule jamaa mwenye hasira kali asiejibiwa texts zake akati ndo mnunuzi wa ng'ora akamwambia yule chalii ampe sim yake,Ka'manzi kakasema"Usimpe"Kweli chalii hakumpa,Akaambiwa tena mala ya pili atoe sim,chalii kazinda...Oohoo alizamishiwa bisibisi ya sikio hadi akalia Ki'mbulu(Ki'Iraq)..Oyoooo.!!Nikasema yes mbanga kama izi nilizi'miss kinyama fas ya K-Juu hadi Niende Ngareroo au Matejoo but leo Burudani sebuleni kama DSTvenga bablai...Bas bhana yule mwananchi baada ya kuchomwa bisibisi ya sikio akaiachia simu aka'drop pale danta akilia kinoma kwa maumivu makali,Kisanga kikahamia kwa mamilox wakamla mtama kwanza akakaa kwa kutulia then chalii akaagiza mamiloo wale waenduru wengine wa4 wamchanie nguo aende Ma'home place full naked...But nikaona huu sio Uungwana sasa Iweje phone washachukua alaf wafanye uturutumbi wa kiduanzi vile??..."Oraa Mkade wade ebu zima kwanza!,Najua una hasira sana ila hawa mamanzi ndo walivo we msamehe tu mwamba coz Kitilili yako ushachukua nini tena kingine Dingii?"Chalii si akataka kuniwakia mimi tena pale..Nikamwambia"Wapi wewe unataka kuja kuwaje apa town chaliangu?Ukali tushaachia Mbwa ariff!"Wale washkaji zake wakamshika wakamsihi wasepe washamaliza shida yao kabla nzi wa kijani hawajajaa eneo lile..Bas bhana Manzi akamnyanyua Chaliake mwenye sikio moja zima wakasololoa kusikojulikana...Nikarudisha chupa yangu ya Pepsi Big kwa Ngosha shop nikapita ivi kuelekea maskani.
@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Bange za kuvuta bila malengo hizi
 
Huu uandishi hapana kabsa!
Hlf nyie watu wa Arusha mnajidai sana mana nikiwakuta huko kwenu hamzungumzi kama jinsi mnavyoandika!
Honestly tunaongea sana tu hii Ngareroo slang ila ni maeneo ya Ngalimi,Ngareroo,Daraja mbili,Kijenge Juu,Ngusero ndo ipo sana...Labda unaishiaga Usa river au Karatu bablide.
 
Nikajua ulivomtoa kwenye soo alikupa papuchi kumbe alisepa na msela wake, ulikwama wapi ww chalii
 
Imenisikitisha kwenye bisibisi ya sikio tu. Mwana kavimba halafu kaishia kupata disability, kisa demu wa form 2 sijui 3.
 
We fala unashindwa hata kuweka aya?pumba kabisa!

Nasoma bila kupumzika..

Nusura pumzi ikate...

Ila chai hii tena ina tangawizi nyingi,ati unazamishwa bisibisi ya sikio alafu unakua mzima??

Sikio ni case nyingine bablai haliwezi zamishwa bisibisi mtu asizimie kama sio kuzima kabisa arif...tuwekee na pilipili manga
 
unafeli mjuba so hukushika hata nyondi Au ndo unaleta pigo za kidandara ase, Au picha linaendelea utakuja kumla kati....

Ila nini Nimecheka kinoma , ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom