joanah

 1. princemikazo

  Sitarudia tena kutongozewa mwanamke

  Habarini za muda huu wakuu Leo saa3 asubuhi nikiwa kitandani mara simu yangu ikaita "Bwii bwii,bwii bwii" nikashtuka kupokea chaliangu mmoko ananiambia kuna manzi kaniandalia. Khaa!! What a fcuk!! Kaniandalia mamiloo kivipi tena? Ikabidi nimwambie anipe michapo vyedi, ndo akanipa full mkanda...
 2. princemikazo

  Nitapiga mtu nimpoteze aseee.!!

  "Hivi vibishoo vis*nge sana,Eti vinatembea vimebeba vibegi vinaweka na nywele dawa,vimenyoa viduku,Headphone kila saa masikioni!Simbilisi kabisa..!!Eti swagga!?alaf vinaibuka Nyumbani kuvizia wadogo zetu Qumamake yani nikikashika nanyoa kiduku asee Tena kwa bati,Ndorobo kabisa,Kiruu!!"Hiyo ni...
 3. princemikazo

  Nimjibuje?

  Habari zenu wakubwa. Naam nimekutana na mdada masaa machache yaliyopita, kanambia "Happy valentine day" Nikabaki kama bubu coz sikujua nimjibu vipi yaani. Eti wadau ningemjibu vipi hapo...
 4. princemikazo

  Ushauri: Kaka angu anateseka.

  Machalii wa humu Eroo Suphai, Ma mamiloo Takwenyaa,, Okay ngoja nichumpe mokomoko kwenye point, Nna kaka angu nnaemfata kabisa yeye ni wa pili kutoka mwisho kuzaliwa uku mimi nikiwa ndo wa mwisho.... Huyu broo ana mke ambae kamuoa mwaka jana tu apa mwezi kama wa9 ivi... Mkewe ni mpare wa Same...
 5. kenny trump

  Wanawake Naombeni Mnisamehee Nimecheza Na Hisia Zenu Vibaya

  Wakuu Mwanamke Ni Mtu Mmoja Wa Ajabu Sana Hakika Mungu Kampendelea Sana Daah Hawa Viumbe Wameumbwa Kwa Utofauti Sana, Daah Ma Men Tunao Watesa Na Kucheza Na Hisia Za Hawa Viumbe Tuache Jamani, Kuna Ex Wangu Mmoja Niliachana Na Migumi Ya Kutosha Mwaka Jana Nilizibua Sana Kosa Ni Kwamba Alichelewa...
 6. kenny trump

  Eti Ni Sahihi Kuwasiliana Na Ex Wako??

  Wakuu Ni Sahihi Kuwasiliana Na Mpenzi Wako Wa Zamani Mlioachana??
 7. Papaa Mobimba

  Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

  Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa. February 7, 2019 Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Ngonyani amemshauri Spika wa Bunge Job Ndugai kufunga mashine maalum Bungeni ambayo itakuwa na uwezo...
Top