Pamoja na kutumia akili kubwa kupata namba zake lakini hanijibu texts daah..!!

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Oozah inakua niaje waenduru wa humu fiade?..ni full wazeya?!bas ni full aikunyi.

Ebhana eeh juzi kade apa nikiwa chimbo ndichi na wajuba tunakula vitu vyetu mala chapcheree katimba chali'etu tunamuita Kidunyu,khaa.!kilichotushangaza eti kaja na manzi'ake chimbo!!

Kosa alilolifanya chalii si akaanza kumtambulisha yule mamiloox kwa wahuni tyme iyo tunamchora tu,To be honesty me ukinitambulisha kwa manzi ako naanza kumpenda apo apo atakama nilikua sina nia iyo.

Bas baada ya utambulisho ule mfupi manzi akatulima akapita zake ivi..kumbe sio mimi tu ndo nilimdekerea yule mamsi nikamwelewa kumbe na wajuba wengine pale fas dwas ila wakawa wanatafuta njia ya kumpata..

Ile shemeji katupa mgongo me nkawaaga wana nasepa maskani nka'chill,ile nimezama Wanchi wade fas ya machochoro nikampata anasororoa moko moko by ngoko duas ya road,nikamwambia azuie kwanza nibofonge nae,hakuleta ngendembwe akasimama.
MIMI:Nigani Mama la mama?
MANZI:Ni etchu Baba angu..bofonga chap ariff shughuli ni mingi asee!
MIMI:Aina kwere mamalai,niazime bas namba ako ya ting'ring'ri.
MANZI:Hahahaha we chalii!!Nikuazime namba angu?mbona sijawahi iskia hii?au Mjanimaica ishavuruga iyo kichwa ako nini??
MIMI:No..sasa skiliza apa nasepa Magheiyo/ghetto ila funguo anayo chaliangu Sele afu sina dakika wala texts,, naomba unisaidie umtumie texts kwamba anikute apa Ngarenaro msikitini chap kidogo.
MANZI:Ooh usiwaze Dadii nitajie namba ake fasta.

Nikatoa Kitiriri yangu nikamtajia namba zangu then akanisendia ilo li SMS"Oraa Sele,Me Macho Msomali niletee izo ma'key chap npo Msikitini apa"..Khaa.!akashangaa sms inaingia kwenye phonenga angu..Nikamshukuru kwa kunipa namba zake kwa hiari bila wengeree afu nikamlima akabaki mdomo wazi asiamini alichokiona.

Cha ajabu night nikamtumia text"habari za usiku mamiloo"hakujibu hadi kesho yake mchana ndo anajibu tena shortly "Saf" Daah k+mam+ke!!nikajipa moyo na figo huenda manzi hayuko yente,kesho yake mornie namvutia ng'ora hapokei daah,nilipiga zaidi ya mala elfu18 lakini wapi.!!baadae ndo akapokea et"Acha usumbufu Bablinyo unachotaka nakijua so vunga utafanywa neti Huo mwili wako"..Eeeheee ishakua mauchawi nikavunga hadi Leo na namba ake nimei'delete.

@NgarenaroBoy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom