Mungu Anakuona..!!

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Oraaah inakua ni viplo machalii na mamanzi wa humu fiade!?..I hope mko full mambo ni wiu wiu ama nene.!!

Bas Leo ile mornie Si nikakadekerea ka'mamiloox kakali kinyama usipime asee et kanagombania daladala apa Sakinade!!nikasema khaa yaani manzi piru kaa yule anagombaniaje ndiga??nikaona apa ndo pa kuchukulia izo ma'points Babaako...

Nikazama chapcheree ndichi nikawahi seat ya mtu bee(mbili)alaf nikakaa katikati ili manzi akija nimpishe a'chill,Dooh Si likaibuka libabu moja ivi liduanzi limevaa glass(miwani)kubwa kama ya kukatia vitunguu likakaa!Daah linanukia Fegi ni Kinoma yaani,yule manzi akasimama,,Kubalababaake roho iliniuma kisoro..

Daladala ilipofika town kati nikaliona lile zee la Ngwasuma lina'drop asee kama zali vile chaliangu mrembo Si akakaa,,Sikutaka kudevera kiree nikalianzisha..

MIMI:Nigani mamiloo.
MANZI:Yechu.
MIMI:Karibu karanga mama(nikatoa viujugu vyangu vya kuzugia)
MANZI:Silagi izo niaje asee,labda Pop corn au Chips.
MIMI:Okay aina kwefere mamalai,naitwa Ngareroo au mjubax mibange.,mwenzangu??
MANZI:Kiruu!!hehehe jina kama dawa we chalii??naitwa Princess Annaleonce.

Wakati naendelea kupata majibu machungu naya ki'whack nikaona ndinga inasimama,ile nashuka nikaona manzi nae anashuka hee!?
MIMI:Oraah kumbe nawewe unashuka apa duas?
MANZI:So what??
MIMI:eek:kay umekataa karanga zangu bas twenzao pale hotelini tukagonge tea.
MANZI:We chalii vipi?unikome Mimi huwa nakula Burger,Pizza,Eggs chops,yaani na uzuri wangu huu unilishe kwa mama ntilie?koma.
Manzi akaamsha nikaona aiko kwerekweche asee nikaagiza maharage ya mia2 na machaparara ya kuzidi na tea ya mia..

Nilipofika kwa Aunty akafurahi kinyama.
AUNTY:Oooh karibu mwanangu Ngareroo!!
MIMI:Asante Aunty.
AUNTY:yule mwanangu wa mwisho unamkumbuka?amekua mkubwa kweli,anasoma huko TIA Singida,yupo alienda chuo ila akahisi homa ndo karudi,ngoja nimuite,Kipandausoooooo!!
KIPANDAUSO:Abeee mamaa!
AUNTY:Njoo kuna mgeni.
Lahaulah lakwata ndipo mboni zangu zilipokutana na ile mamsii ya kule kwenye daladala khaa..!!hana wigi,komwe la ukoo wetu wamaasai linaonekana ,komwe la Babu yetu,manzi kashika sahani ya maboga na kikombe cha uji wa Mchele,aliponiona kidogo azimie..

AUNTY:huyu ndo Kipandauso au Dindoyogo!njoo na maboga ya kutosha na kikombe kingine cha uji unywe na kaka ako hapa..

Mazafakaa!! manzi alirudi ndichi kainamisha sura danta kwa aibu,nikasema wapi Princess,wapi Pizza,wapi Burger bhana!!

@NgarenaroBoy
 
Stori yako inatufundisha nini ?
 
Napenda saana swaga za R Chuga.

Kiukweli wengi mjini wanafake maisha yao halisi. Ila majumbani kwao wanakulaga tu.
Halafu kudharau chakula siyo tabia nzuri, hata kama hutumii ila usikidharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom