mhhh bidada ghorofa litakuhug usiku na kukupa ujauzito??
ujauzito nitaupata hata clinic tena kwa kuchagua mbegu ninayoitaka , kuhugiwa hakuna maana sana kama raha 20% tena kwa muda mfupi 80% inayobaki ni karaha tupu, raha najipa mwenyewe kwa sababu ipo ndani yangu, ukisubiri raha toka kwa mwingine utaumiza kichwa sana.
Kuitwa mama fulani au mke wa fulani inakuongezea nini? Bora kuwa na gorofa linaloniingizia pesa.
ujauzito nitaupata hata clinic tena kwa kuchagua mbegu ninayoitaka , kuhugiwa hakuna maana sana kama raha 20% tena kwa muda mfupi 80% inayobaki ni karaha tupu, raha najipa mwenyewe kwa sababu ipo ndani yangu, ukisubiri raha toka kwa mwingine utaumiza kichwa sana.
Eeeeer diripuuu ya umbeaaaa mayoweeee
adhabu uliyomzawadia kwani ni ndogo odo?Odo nisaidie adhabu ya Name calling humu.
Cc imuendee shem Matola maana kila nkiitafuta siioni.
Odo nisaidie adhabu ya Name calling humu.
Cc imuendee shem Matola maana kila nkiitafuta siioni.
dah umeniongezea furaha mkuu,mauno ya kwenye sherehe ni hatari
Wasalaam wana MMU,
Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana ...
Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa?
Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi",
kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi???
Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi
2. Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda
3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa
4. Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa
5. Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion (ndoa sio fashion)
6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nope
Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.
XoXo
usipate tabu, tafuta uzi wenye heading 'maskini Sofia wangu ...'
Ni aina ya uandishi, mie victim number one, natumia nafsi ya kwanza. Sioni shida kabisa.
kwani una miaka mingapi? nataka nikueleze ukweli mimi kama mwanaume.
Wasalaam wana MMU,
Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana . Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa? Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi", kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi?
Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi
2. Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda
3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa
4. Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa
5. Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion (ndoa sio fashion)
6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nope
Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.
XoXo[/QUOTE
To every action there is an equal and opposite reaction by Isaac Newton.............."Happiness in life means making others happy ".............olewa upate hiyo reward,lakini siku zote moyo unauma,just imagine >30 wanapiga tu na kusepa,we unafikiri hao wazazi wako hawaumii kama we unavyohisi unaumia?